Tuesday, December 15, 2009

Yam Yam Yam, Ubunifu mpaka kwenye chakula!!!!! lovely

Guess haya ni matunda gani???????????

2 comments:

 1. Hai madam sily,

  Uko mzima? huku wazima kabisa.
  Kuhusu picha bado kidogo maana nimesha mtafuta mpiga picha akapige.

  Na hayo matunda huyo aliye-dezine ni hodari sana inaelekea ni mtundu wa kubuni.

  La kwanza ni watermelon but la pili sijalifahamu sijui ni nini!

  Sorry, ulituahidi j3 utatuletea somo la gadren
  imekuwaje tena hujatuletea?? tumesuburi kwa hamu zote.

  Pia fanya hima na kuhusu mzigo mpya wa x-mas pengine sie wa mikoani tutawahi kuipata,
  isitoshe kale kameza ka vinywaji umefikia wapi mpendwa???


  Bye!
  mama brian
  mza

  ReplyDelete
 2. mama B, jamani pole sana kwa kusubiria, this week kidogo imenichanganya, but don't worry nitakuletea hivi karibuni,

  sylvia-homez deco

  ReplyDelete