Monday, December 29, 2014

METAL BEDS......

 Size 4 by 6 tshs. 320,000
 Size 4 by 6 tshs. 320,000
 Size 4 by 6 tshs. 320,000 @
 Size 4 by 6 tshs. 320,000 @
Size 5 by 6 tshs. 380,000.

FORONYA ZA MITO....NA DECORATIONS ZA MEZA YA TV.....

 Mteja wetu alitaka colorfull...foronya kwa ajili ya sofa yake..hivyo akatoa oda na tukamtengenezea....
 Decorations pia....hizo za red and green...ni kutoka homez deco.....napenda kushauri kua....meza za tv tusiziache tupu...tuweke decor....zinasaidia sana kupata muonekano mzuri wa sebule yako.....
Kwa mahitaji ya decor...foronya....mito...wasiliana nasi 0713920565.....mikoani tunatuma...
Nb: tu follow instagram @homezdeco

MITO NA FORONYA......

 Mito na foronya ikiwa imefika nyumbani kwa mteja....wetu Dodoma.....nafurahi sana sana..wateja wangu mnaponirushia picha..ili tuweze ku share na wadau....na mnapenda kazi zangu....

Kwa mahitaji ya mito na foronya tuwasiliane...0713920565 uweze kutoa oda yako....na size yoyote ile utakayo....

3 IN 1 SAA YA UKUTANI.....

Saa ya ukutani ikiwa imeshafika nyumbani kwa mteja.....

Tuesday, December 16, 2014

USHAURI...MAONI....


Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wadau wote.....wateja wote...marafiki ndugu na jamaaa..ambao mmeni support tokea ninaanza biashara hii na huu ni mwaka wa 6 sasa...
Biashara hii yangu imeniwezesha kufika na kuzunguka maeneo mbali mbali... ndani na nje ya Tanzania..... na pia nimeweza kuonana na watu mbalimbali....na kupata wateja....marafiki etc...
Sasa basi...naomba na ninakuja kwenu...ninashukuru sana sana kwa support yenu mnayonipa bila kuchoka....
Homez Deco...tumeamua kutoa nafasi kwenu wadau....wateja...marafiki...etc....tunaomba ushauri....maoni...etc...yahusuyo kazi zetu.. je tuboreshe wapi.... tulikosea wapi... ulikwazika wapi... yaani tuambie.. unachoona wewe ukituaambia... tutaweza kuboresha.. huduma zetu.. na si tutafanya...
Hakuna binadam aliyekamili....na najua kuna ambao nimewakosea... kuna ambao mmenikosea...etc...napenda kuchukua nafasi hii... kuomba radhi... kokote uliko...

Homez Deco.. inakuomba radhi.. kwa mapungufu yaliyojitokeza mwaka huu 2014...nasi tunasamehe wale wote waliotukosea pia.

Tunategemea.. mwaka ujao 2015.. kufanya vizuri zaidi na zaidi.. na hii ni katika mchango wako utakaoutoa kwetu.. wapi na wapi... nini na nini kifanyike....tutafanyia kazi....

Tunakaribisha mchango wako wa mawazo.. maoni... ushauri..etc...kuhusu Homez Deco... waweza kutuandikia kwa sms ama simu no. 0713920565.....ama email: homezdeco@yahoo.com
na pia unaweza ku comment humu humu...kwenye articals za blog hii  na itatufikia..
pia endelea kua nasi katika page yetu ya instagram.. tu follow: @homezdeco

Nawapenda sana sana sana... na endelea kua nasi....Homez Deco....

THANK YOU ALL.....MY FUNS...FOLLOWERS...MY CLIENTS...ETC...JINSI YA KUTUMIA COLOR ZINAZO SHOUT...KAMA ORANGE...ETC...

 Rangi zinazoshout...ziko nyingi ila leo mimeonelea nitumie kutolea mfano rangi ya orange....
rangi hii ni kali... na ukifanya mchezo.. nayo itafanya pale ulipoitumia kuonekana kituko na hutoipenda....
Napendelea sana sana..kutumia rangi hii kwenye maduka ukutani..kwa mtu anaetaka shouting colors..maana hufanya duka lionekane..
Ila kwa nyumbani.... tumia rangi hii kwa upande wa decorations...na sio ukutani.... kama mifano ya hizi picha hapa.. yaweza kua kwenye pillows...ama pazia.. ama carpet....yaani vitu vidogo vidogo....
kumbuka sofa ni kubwa.. hivyo kua makini.. orange isitawale sana....itakuchosha...

Friday, December 5, 2014

PANTONE'S 2015 COLOR OF THE YEAR IS WARM COMFORTING BOOZE


Like a childhood mood ring you really wanted to believe in but always knew was hogwash, every year Pantone predicts our national mood by highlighting a single shade from its library. This year's choice—the company's 15th annual color of the year—all about "sophisticated, natural earthiness." Or maybe just wine, which works too.
Today the company announced that 2015 is going to be all about Marsala, a red-brown hue named for the Sicilian wine. According to Pantone's panel of experts, it's a color that "enriches our mind, body and soul, exuding confidence and stability." How? By reminding us of food and booze! Here's what Pantone's Executive Director has to sayabout the choice:
Much like the fortified wine that gives Marsala its name, this tasteful hue embodies the satisfying richness of a fulfilling meal, while its grounding red-brown roots emanate a sophisticated, natural earthiness. This hearty, yet stylish tone is universally appealing and translates easily to fashion, beauty, industrial design, home furnishings and interiors.

Thursday, December 4, 2014

SALE SALE SALE......50%OFF........HOMEZ DECO PRODUCTS..... Wine stand 35,000/=

 Pic frem 40,000/=
 Pic frem 25,000/=

Pic frem 25,000/=
 Decor...zaweza kukaa... kwenye tv stand..ama console table...etc...bei 100,000/=
 Bei 100,000/=
 Table lamps....80,000/=
 Table lamps 80,000/=
 Table lamps 80,000/=
 @ 65,000...zaweza kukaa.. kwenye show case za kabati... corner shelf....home bar...etc...
 3 pics.....95,000/=
3 pics 95,000
Ua..
.90,000/=

Nb: mikoani tunatuma pia....tuwasiliane 0713920565...

KIMYA KINGI.....


 Wapendwa...wadau wangu wote wa Homez Deco....poleni sana kwa ukimya wangu... nilikua safari...kwa muda kidogo....ila nimerudi.. nilienda kufuata mzigo wa decor....na nashukuru kwa uvumilivu wenu...

Mara nyingi ninapokua sipo hua ninakua active kwenye instagram yangu ya homez deco....naomba mjumuike nami huku.. ili muendeelee kupata update...

Sio kwamba blog nimeacha...hapana...niko kote kote.. ila pia tunaenda na utandawazi... na nchi zingine.. hizi social networks... hawazikubali... so inayopatikana ndio ninayotumia...
instagram page yangu ni  @homezdeco
naomba kama kuna maswali.. maoni..ushauri..etc.. wasiliana nami kwa simu namba 0713920565....ama email address: homezdeco@yahoo.com

Asanteni.. na nawapenda.. sana....