Tuesday, January 13, 2015

METAL DINNING TABLE...

Nb:Meza zote hizi ni watu 4. Price ni 780,000. Meza iwe round ama square ni uamuzi wa mteja....na meza ni za kioo....ukihitaji top ya marble kwenye meza...bei ni maelewano kulingana na aina  top yenyewe....
Meza ya watu 6 ni 980,000.
karibuni mtoe oda...0713920565

SOON VITAANZA KUPATIKANA HOMEZ DECO.....FLOWER STANDS
Tuesday, January 6, 2015

LIVING ROOMS....


 Mpangilio wa sebule yako inategemea na ukubwa wa chumba hicho....kuta zikoje...etc....kuna sebule zinafaa Lshape tuu sofa..hivyo usilazimishe kuweka sofa nyingi....na kuna sebule zinakubali aina yoyote ile...na kwenye mpangilio anza kupanga vitu vikubwa vikifatiwa na vidogo.....bila kusahau mpangilio wa rangi na vitu vidogo. Vidogo......Monday, January 5, 2015

CREATING BEDROOMS TO RELAX AND ESCAPE....

 Hivi ni baadhi ya vyumba vya kulala....unaweza kupata muonekano huu ukiamua....
2015.....