Wednesday, August 27, 2014

FORONYA ZA MITO YA CHINI.....PAMOJA NA MITO YAKE......

 Foronya zinapatika pamoja na mito yake ya kukalia chini.... size ni 70 by 70. ... foronya ni 15,000. Na mto ni 45,000. Karibuni wote......
Pls follow us on instagram @homezdeco

KIOO NA PICHA ZA UKUTANI ZIKIWA ZIMEFIKA KWA MTEJA.....

Picha za ukutani zikiwa nyumbani kwa mteja wetu.. aliweka kwenye korido yake.....ukiingii kutoka mlango wa mbele unakutana nazo....
Tujitahidi kuta zetu tusiziache wazi bila kuweka picha za ukutani kwani zinaleta mvuto zaidi.
Kioo pia kinamvuto wake hapo...kioo kikiwa ukutani. ....na kuna saa ya ukutani pia....
Kioo hiki ndicho kilichobaki....waweza weka sitting room. .ama dinning room ama bedroom ama ....korido. .na kikapendeza.....

Tuwasiliane kwa mahitaji ya home decorations. ... na ushauri....0713920565...

MITO YA SOFA NA MITO YA CHINI.....YOTE NI KUTOKA HOMEZ DECO...


 Tulitengeneza mito pamoja na foronya zake.... mteja alitaka color combo....
Ukiangalia kwa pembeni kulia kuna mito ya floor. ..

Karibuni mtupatie oda ya mito size zote utakazo.... pamoja na foronya zake.. nasi tutawapa mlichooda.....

Pls follow us on instagram @homezdeco

Wednesday, August 20, 2014

NEAST STOOLS.....AND DECOR....


 Hizi ni stools... za mbao...tulizozitengeneza sisi home decor...unaweza ziweka kwenye kona sitting room... ama pembeni ya sofa lako.....
 Ukiziwekea decoration juu... zinapendeza zaidi...hii ni mifano tuu..na stools hizi husaidia sana ku save kama unawageni wengi... na pia ni decoration na hu save space...

Zinapatikana homez deco ....karibuni

DESIGNING QUOTE. ....
Wednesday, August 13, 2014

PAZIA.....ZIKIWA KWA MTEJA....Pazia hii ni design ya hailet...kazi yetu ni pazi na hizo poles pia....

DINNING TABLE YA MNINGA......IMETENGENEZWA NA HOMEZDECO. ... Meza hii kama inavyoonekana ni kazi yetu homez deco. .....ni meza ya viti 6... na mteja alitaka rangi hii off white....
 Hiyo ni stool....nayo ni mninga...

 Meza kwa mbali ikaonekana. ....
Tunakushukuru mteja wetu. ... sana....