Monday, December 21, 2009

HIZO NI BAADHI YA PICHA ZA VYUMBANI. (nyumba ya Mrs. Jossanne George) sasa mniambie mganga anajinganga ama hajigangi?Kama mnavyoona, wapenzi wa blog hii, ni kuelimishana, upande wa bedrooms iwe master bedroom au chumba cha watoto, wageni au spear room, tujitaidi sana kuepuka cluttered, stuffs

Iwe ni kwenye dresser,au chumbani kwa ujumla punguzeni makolokolo, yasiyo ya msingi, unavitu vingi gawa toa msaada, tupa, maana wengine mna meseums vyumbani kila perfume mafuta lotionns zikiisha bado mnabakia na empties za nini??

Shoga zangu, kama ni wanandoa, pangeni chumba chenu kivutie, kisiwe tena dampo la kutupia nguo hauna kabati nunua makapu mazuri. Una nguo nyingi gawa ambazo azikutoshi.

Onana na dada Sylvia hapa akupe ushauri ndio kazi yake, maana wengine mko bussy na kazi zenu ndio maana kuna washauri wa interior designing kila idara.

Tupende kushare idears tusiwe wachoyo wa elimu, hata kidogo

From Mrs. Jossanne Geogre.


No comments:

Post a Comment