Monday, December 14, 2009

Hii imepitwa na wakati jamani
Table runner ziko za aina nyingi tuu, chaguo lako

Hii ndio table runner, haijalishi meza ni ya aina gani. na inasaidia kuweka meza safi na nzuri. ila angalau iendane na rangi za ndani kwako. sasa watu wanachanganya, kuna throw ambazo ziko za aina 2 nzito na nyepesi. na kuna table runner, ikiwa mezani inaitwa table runner, ikiwa kitandani au kwenye makochi ni throw.


No comments:

Post a Comment