Tuesday, December 1, 2009

Hata vitambaa vyepesi vyafaa pia


2 comments:

  1. Nimeipenda aina hii, je naweza kuipata dukani kwako?

    ReplyDelete
  2. inawezekana ila kwa order na nitahitahi kujua kama kitanda chako kina hiyo miti ya pembeni tayari na urefu wa kutoka juu ya hiyo miti mpaka chini, na size ya kitanda kama ni tano kwa sita etc. na rangi gani utapendelea zaidi.

    ReplyDelete