Monday, December 14, 2009

Hizi ndizo baadhi ya table runner/throw zipatikanazo dukani, bei ths. 20,000/- kila moja,

Habari za weekend wapendwa, hizi mzionazo hapa zinaitwa throw/table runner. wengi wetu tunazichanganya, ikitandikwa kwenye meza, kwa marefu ama mapana, na ukaweka ua katikati ama urembo wowote basi utakuwa umependezesha meza yako na kupunguza kuchafu kwani utakuwa unauona kwa urahisi. haijalishi ni meza ya kioo ama ya mbao. Ikitandikwa kwenye kitanda ama kwenye makochi inaitwa throw, na hakikisha iendane na rangi za nyumba yako

No comments:

Post a Comment