Monday, December 21, 2009

MALI MPYA KWA X- MASS IKO DUKANI. NA KWA BEI ZA SIKUKUUUU. KARIBUNI

Karibuni dukani Kreative Homez(Homez Deco) mali mpya kwa ajili ya x-mass, mito ipo ya saizi zote na unatengenezewa foronya kutokana na unavyopenda na rangi unazozipenda, wa futi 6 ni tshs 60,000/= wa futi 7 ni tshs. 75,000/- ikiwa na mapambo na box za zawadi kama inavyoonekana. ikiwa bila mapambo wa futi 6 ni 30,000/- na wa futi 7 ni 37,000/=
tshs. 30,000/-
tshs. 30,000/-
Candle holder na candle ni ths 35,000/-
Hizi zinaitwa humper, kuna zenye wine, champaign, mishumaa, etc. na kama una zawadi ama vitu vya kuweka kwenye humper unahitaji tukufungie karibu dukani. kuna ya kuanzia 52,500 - 41,000/= .


mito ya saizi zote ipo. njooo utoe order na utupe rangi unazohitaji utatengenezewa. mikubwa kabisa 50,000/- midogo 10,000, saizi inayofuata 15,000/=, mto wa kitandani 20,000-25000/= mto wa shepu ya soseji 30,000/- zote zikiwa na foronya

Mashuka mashuka. karibuni kuna mdau wangu aliniomba sana sana mashuka. haya kazi kwako ila sijaleta pic nyingi, ni foronya 2, shuka 1, duvet cover 1, tshs. 80,000/=

Hizi zinaitwa writh ni za kutundika mlangoni. tshs. 30,000/=

4 comments:

 1. Hi!! Hizo duvet pia zipo dukani???

  Hilda

  ReplyDelete
 2. Hi Hilda,

  Duvet zake zinapatikana ingawa sio dukani kwangu maana mzigo haujafika, ila ukuhitaji nitakutafutia, just buzz me.

  nakusubiria dukani uje ununue mashuka yako, hahha. karibu mwaya

  ReplyDelete
 3. Hellow! Hv una shuka zile zenye mpira pembeni, za kutosha kitanda cha 6.5?

  ReplyDelete
 4. Hellow!!, mashuka ya mipira pembeni sinayo ila mzigo mwengine nitayaleta, nitakujulisha. thanks

  ReplyDelete