Monday, December 7, 2009

Niliombwa nitoe design ya makabati ya watoto ingawa sikutajiwa ni watoto wa umri gani. Ndio haya hapaaaaa!


6 comments:

 1. Mambo vipi sylvia?? Hizo kabati zipo dukani kwako au umetafuta tu sample kwa ajili ya wateja??

  Hilda

  ReplyDelete
 2. Hi Hilda,

  Kabati niliombwa nitoe samples tuu. Haziko dukani kwangu. Ila nikiona demand ni kubwa basi nitazileta kutoka nje.

  ReplyDelete
 3. Hello,

  Nashukuru Sylvia basi nitasubiri

  ReplyDelete
 4. hellow dia, wat z da price? i wuld luv 2 have da second or da sixth

  ReplyDelete
 5. hi, sorry i haven't been started to make them, homez deco

  ReplyDelete