Friday, September 25, 2009

coffe tables bila stools ukihitaji stools ni 150,000/= kwa kila stool moja


Bei Tsh. 220,000/=
wapendwa naombeni radhi kwa kukosea bei ya hii meza bei halali ni Tshs.300,000/= pls mniwie radhi.


Bei Tshs. 300,000/=




Bei Tsh. 350,000/=




10 comments:

  1. naomba ututolee na bei za meza ya chakula na viti vyake, mfano nikilipa nusunus kama kwa miezi mitatu alafu nikachukua mzigo wangu baada ya kumaliza deni unakubali,nimependa bidhaa zako ila uwezo wangu ni kulipa mara tatu kwa bidhaa ya kama laki tano au sita

    ReplyDelete
  2. Habari, asante sana, kwa hilo halina shaka kwani nimelenga kwa watu wa hali zote, ukiwa tayari tuwasiliane tuu. (Sylvia-homezdeco)

    ReplyDelete
  3. mpendwa mambo vipi pole kwa kazi nzuri utuleteayo. Sasa nilikuwa naomba utuonyeshe coffee table zenye stools pamoja na bei zangu. pls. Thanks

    ReplyDelete
  4. Sorry hapo juu nimeandika bei zangu instead of bei zake. Pole kwa usumbufu.

    ReplyDelete
  5. Mambo safi, sasa hizo na stool zake nitazileta ila hata hizi ninazo zipost ukutaka na stool zake zinapataikana nitawaletea bei zake pia, Sylvia-homezdeco

    ReplyDelete
  6. hi there, hivi vitu vipo kabisa kabisa sasa hivi au mtu alipenda unamuagizia?

    ReplyDelete
  7. Hellow! hivi vitu ni mpaka utoe order ndio utengenezewe na nina metal designer wangu hapa hapa Tz. nimeogopa nikitengeneza vitakaa sana ndio maana nimeona nitoe kwenye blog then ukipenda tunawasiliana then unakuja dukani unatoa order na advance then baada ya siku 5-7 order yako inakuwa tayari na unakuja kuchukulia dukani. karibu sanaaaaa. Sylvia-homez deco

    ReplyDelete
  8. kuwa makini katika bei zako, hakikisha una weka bei ambayo unauhakikika nayo. sio leo la 210000 kesho 300000 haileti maana unakushushia credit unaokana unabahatisha kuwa makini katika hilo

    ReplyDelete
  9. my dear umakini upo na mimi ni bidanadamu kama binadamu wengine nina mapungufu kama binadamu wengine. bei zilikosewa na ndio maana nikaomba radhi na nikarekebisha sikutaka kabisa funs wangu muwe mnasumbuka kwa hilo. uhakika uko na utaendelea kuweko, sylvia-homez deco.

    ReplyDelete
  10. mambo Sylvia.Mimi nnakioo changu tayari nataka unitengenezee kama hiyo coffee table ya kwanza je itakuwa bei gani?

    By
    kadada ka cnza

    ReplyDelete