Monday, December 21, 2009

UPANGAJI WA MASHUKA MATAULO, FORONYA NKNADHANI upangaji wa vitu nilivyovitaja vyumbani makabatini, kama una mpango wa kujenga nyumba yako au kununua , unaweza kufanya, marekebisho, ukaweka kabati la kujengea, ukutani au ukanunua, special stand, ukapanga mashuka taulo, kuanzia ndogo kubwa, foronya za mito kama una baadhi ya mabegi makubwa unakuwa na sehemu yake, pia kwenye closet, nitazidi kuwaelimisha, msiwe na hofu kuuliza, hii yote ni kusadiana tusiwe wachoyo unajua kitu unakaa kimya,uwaambie wenzio hatutafika kwa mpango hu.

Wenzetu wamepiga hatua za maendeleo ktk nyanja mbalimbali kwa kuelimishana kukosoana, siyo kashifa wala majigambo, nawatakia x-mas njema.

No comments:

Post a Comment