Thursday, December 10, 2009

Interior Designs


6 comments:

 1. Leo nimekupenda sana kwa vitu ulivyovileta. Keep up educating us.

  ReplyDelete
 2. lol jamani kumbe siku zote hunipendi eheeee, sawa tuuu. (joke)

  Asante mwaya. nakaribisha maswali kwenye ishu yoyote ile ya interio design then mimi nitaielezea.

  ReplyDelete
 3. mambo sis?!naomba kufahamu hizi bendera zinazotambulisha nchi hapa pembeni'total visitors' imekuaje bendera yetu ya TANZANIA umetuwekea rangi tofauti kabisa na zile ninazozijua mimi??(blue,yeusi,kijani na njano)au macho yangu tu???! au inamaanisha nini?nielimishe pls
  na hapa ni sehemu ya pili kuona hizi rangi,ya kwanza ilikua ktk blog fulani hivi pia ni ya MTANZANIA

  ReplyDelete
 4. ha ha haaaaaaaa! Mimi ni mpenzi wa interior design ukirusha mavitu haya unanikosha kweli. Nachanga changa nikipata kiasi fulani nitakufuata ili nikupeleke nyumbani unipe ushauri. Big up!!!

  ReplyDelete
 5. Hi hizi bendera zimetengenezwa kabisa huwezi zibadilisha, ila mie sikuona yakwetu kama imekosewa hivyo nitatafuta yenye bendera yetu. naomba radhi.

  ReplyDelete
 6. thanks Emmy ukiwa tayari tuwasiliane tuu usihofu

  ReplyDelete