Monday, December 21, 2009

ujambo sisy merry x-mass & happy new year to Shamim aka. Zeze From Mrs. Jossanne-New York

nawatakia afya njema uzima, wewe na familia yako, na marafiki zako na zaidi new year & new resolutions welcome to the gym shammy ha ha ha ha ha ha upo hapo nitakkta kwenye hizo tred mill nakutakia mafanikio, mema, chaooooo koku NY.

(Kumbe na kwenye mazoezi uko eheheeee!!! thant's very good, haya ngoja na mie nijipange sasa dada- from Sylvia Kreative Homez-Homes Deco)

1 comment:

  1. Sister Jossane unavutia sana. Hizo Nguo zako pia umezipanga poa sana na watu wanaweza kuiga mfano kutoka kwako.

    Hilda

    ReplyDelete