Thursday, December 3, 2009

Mazungumzo kati yangu na Mrs.Jossyanne George muda mfupi uliopita kupitia kwa email

Sylvia - Homez Deco says:

hi sis,

pole na kazi, sasa nimezitoa kazi zako kwenye blogsite yangu, tuwe tunawasiliana na pia nina idear moja kuwa at least kwa wiki mara moja uwe unanitumia article kuhusu landscaping kwa ajili ya kuelimisha nami nitai publish, kwani huku watanzania wenzio wamekukubali sana.

na pia ninafikiria mwezi wa nne ukija tufanye kama get together na baadhi ya wadau wetu huku uwape somo na wao wakuulize.


au kama una idear ingine nzuri nijulishe itakuwaje.

kazi njema, and please get back to me as soon as possible ili tuwe na muda mrefu wa kutangaza na tupate feedback nzuri.

karibu.

Mrs.Jossyanne George says:

nitajitahidi dear, nikija tukae chini tuelekezane, vizuri, ila asante sana, kwa kuwaelimisha watanzania wenzetu maana, wote hatuwezi kuwa ma engineers, doctors or mis pageants, au madegsners,

inabidi tuangalie na mambo mengine ya kufanya ktk maisha,na kimaendeleo, unajuwa uwa ninajiuliza ili suala la usafi wa mji wa dar ni aibu na si suala la serikali, ni la sisi wote kusadiana, kuanzia kwenye mashuleni, mpaka vyuoni, nikuelimishana,utunzaji wa mazingira yetu kutotupa taka ovyo watu wanatupa machupa ovyo.

mifuko sewerage systems za dar hazina service yoyote, mvua ikinyesha dar foleni masaa 6 hakuna anayeona hii kero, watu wanafungulia vyoo, milipuko ya magonjwa
huu .wote ni uchafu, uchafu, inasikitisha sana,

kila leo watanzani wanasafiri nje ya nchi ina maana ni vipofu, dada tunaweza kuwa na magari ya kifahari, majumba, mazuri, tukavaa nguo za madesgners ila tunaishi ktk mazingira, machafu ya milipuko ya magonjwa

jibu ni kwamba wote sisi ni wachafu, no body care, ni mzee MENGI ndie anaepiga kelele siku zote na baadhi ya viongozi tuone aibu mji wadar ni mchafu ni aibu kwa wakazi wa dar, wote,

tunaweza kuchangia maharusi, clubs, za michezo kwanini tusichangie kusafisha mazingira? kuokota taka tukawa na mpangilio mzuri, asante sana dada mungu akulinde

chaoo!!

Hayo ndio yalikuwa maongezi yetu kupitia email.

Tunakaribisha michango yenu ya mawazo juu ya hili swala la mazingira, JE TUPANGE SIKU TUWEZE KUELIMSHANA JUU YA USAFI WA MAZINGIRA KUANZIA MAJUMBANI MPAKA JIJI LA DAR NA HATIMAE TANZANIA NZIMA? KUMBUKA HUYU NI MTU ALIYE SPECIALIZE KWENYE LANDSCAPING.

6 comments:

 1. Me I think niko Interested kufanya kazi na wewe na dada huyo ili tuona tufungue Company tuombe jiji watupe for majaribio wilaya moja then tuone maana jiji la Dar ni letu sote mamii kinachotutatiza ni vifaaa mpenzy Slyvia am damn serious please.Mama W'z

  ReplyDelete
 2. Nashukuru sana Mama W'z. kweli unayosema jiji la Dar ni letu sote, na ukiangalia swala la vifaa ni kwama Mrs. Jossyanne alishaniambia kua kwa kule anakoishi(New York) huwa wanauza vifaa wakati wa sale na huwa ni bei rahisi sannaaaa. sasa cha kufanya tunaweza kununua halafu tukaomba wizara husika kama tunaweza kuvileta na tusitozwe ushuru.

  sasa hii yote ni points za kuongelea siku hiyo ya mwezi wa nne akija Joyssanne na atatushauri vizuri sana nini cha kufanya.

  Tukiamua tunaweza Tanzania kuwa kama Nchi nyingine kwa usafi. na wakuanza ni mimi, wewe, na yule.

  ReplyDelete
 3. Oky Slyvia lets us keep in touch tuone wat will cost na Mrs. Jossyanne tuone atatusaidiaje maana hiki kitu huwaga natamani kufanya ila nilikuwa cna mtu wakunielimisha ila just thank god Mdada mwenzetu Mrs Jossyanne katupa njia lets do it Sylivia kuanza itakuwa ngumu az u know our Country tutapata vikwazo ila tukiamua tunaingia front kupewa try az long az tuwe na uhakika wa vifaaa my Director,Mama W'z
  lets keep in touch nitajitahid dis saturday nipite Ofcn kwako nitakupa shout before cjaja.Thanxxx stay showered with blessingz

  ReplyDelete
 4. no problem my dear, usijali tumeamu na tutafanikiwa tuuu, kidole kimoja hakivunji chawa, umoja ni nguvu utengano ni dhahifu. sasa kwakuwa tutakuwa ni wengi hakutakuwa kugumu sana tuombe mungu atuaidie.

  have a nice day.

  ReplyDelete
 5. GOOD IDEA...keep it up....YES WE CAN...WISH U ALL THE BEST

  ReplyDelete
 6. Thank u Zeze. I will update u so that we can be on the same boat.

  ReplyDelete