Tuesday, December 1, 2009

Aina za net na urembo wake


7 comments:

 1. nimependa sana hizo dizain za net,ila ss kwa kwetu bongo hizo net c tutaumwa maralia mpk tupe?au kuna vitu vya kuweka?ili mbu wasipite?naomba nieleweshe,ucnicheke kwa ushamba wangu jamani nataka kujua

  ReplyDelete
 2. usijali kuuliza sio ujinga, neti hizi wakati wa kulala unazichomeka kama kawaida, na mbu hawakuumu ng'o

  ReplyDelete
 3. Nyie ndiye wanawake tunawataka katika jamii yetu. big up dada

  disminder

  ReplyDelete
 4. tunakushukuru sana na Mrs. J. George amepata salamu zako pia.

  ReplyDelete
 5. nimependa sana blog yako ni nzuri inaelimisha sana na kutupa mwanga wa vitu mbalimbali. Big up! sasa mie nahitaji sana hizi net naweza kuzipata wapi kwa hapa dar? ntafurahi kufahamu. Thanks

  ReplyDelete
 6. asante sana, kuhusu net ndio ninazifanyia mpango niwe nazo dukani, ntakujulisha, nipatie contacts zako by email na tutaendelea kuwasiliana.

  siku njema

  ReplyDelete
 7. tuwekee contacts zako tukucheki kwa ajili ya hizo net.

  ReplyDelete