Friday, December 11, 2009

Wadau msaada unahitajika, Mungu ni mkubwa na ashukuriwe. Kampuni yetu inakua sasa na yote hii ni kutokana na mchango wenu mkubwa. Nawashukuru sana!!!!

Job Vacancy

SALES/MARKETING EXECUTIVE (1 post).

Kreative Homez (Homes Deco) inayo deal na Interior designs, Metal Furniture, Designing of curtains, Gardening, Decorations. Kampuni yetu ina wafanyakazi 5 sasa. Tulianza wafanyakazi 2 mwaka August, 2008 .

Tunatafuta mtu ambaye ni mchapakazi na tayari tunafanya kazi na Hotels kama vile Blue Pearl hotel, giraffee hotel, belinda hotel, Grand villa hotel na ni kampuni ambayo inaendelea kukua.

JOB DESCRIPTION:

kutafuta masoko/tenda.
kutafuta sponsorship.
kutafuta matangazo.
kutoa feed back kila siku jioni.
ku maintain customer data base.
AOB as directed by the employer and able to work under pressure.

SKILLS:Basic Computer skillsholder and Experience in position advertised. Awe anajituma, smart, mbunifu. Anaejua kuandika na kuongea kiingereza na kiswahili na awe ni mwanaume, of age 20 - 30. Mwisho wa kupokea maombi yao ni tarehe 25th Dec, 2009 and only short listed will be contacted.

Send your CV and Cover letter to: sylvianamoyo@yahoo.com

Good luck everyone.

No comments:

Post a Comment