Tuesday, March 2, 2010

Announcement

Nimepata msiba wa babu yangu mzaa baba, Hivyo sitokuwepo kwa muda wa siku tatu, kuanzia kesho j5 3/3/2010 ambayo ndiyo siku yangu ya kuzaliwa. Mazishi yako Mtwara-Masasi, so I have to travel.

Namshukuru Mungu kwa yote, na nataraji Jumatatu nitakuwa pamoja nanyi,

Stay blessed.

18 comments:

 1. pole sn Sylvia
  be blessed

  ts me

  Man UTD fan

  ReplyDelete
 2. pole sana Sylvia

  ReplyDelete
 3. Pole sana Mpendwa wetu kwa msiba.
  Msiba umekuja wakati mbaya ambapo ulikua unakaribia bday yako ila kazi ya Mungu aina makosa.Nikutakie maziko mema na Happy birthday in advance.
  Much love
  SAB

  ReplyDelete
 4. Pole sana Sylvia. Mshukuru Mungu kwa kila jambo.

  Hilda

  ReplyDelete
 5. Pole mpenzi, sisi tulimpenda mungu kampenda zaidi. mungu akutie nguvu . kila la kheri kwenye safari na mazishi kwa ujumla

  na happy birthday iyo kesho

  ReplyDelete
 6. Nashukuru sana sana, you know Mungu ndie ajuwaye yote na mpanga yote.

  ReplyDelete
 7. Thank Zeze for your wishes, I will be 27 years, huwezi amini mara ya mwisho ya kufanya birthday nilikuwa nina miaka 10, na nilikuwa king'ang'anizi nispofanyiwa na mama, so after she passed away sijafanya tena, hii ndio ingekuwa ni mara ya kwanza, lol, ila namshukuru mungu pia, nita ipeleka mbele, Mungu anijalie kheri yake tuuu.

  ReplyDelete
 8. Pole sana Sylvia, May the grandpa RIP. Na pia nakutakia safari njema pamoja na Birthday njema!!..

  ReplyDelete
 9. Mshukuru Mungu umeweza kumuona babu yako na pia utaweza kwenda kumzika (nimekuonea wivu). Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu - na pia Mungu akuzidishie maisha nawe uweze waona wajukuu zako

  ReplyDelete
 10. Pole mdogo wangu tumuombee mwenyezi mungu ailaze roho yake mahala pema peponi-Amen!
  Pia nikutakie birthday njema japokuwa utakuwa safari yote ni mipango ya mungu inshaallah akutangulie kwenye safari yako na mazikoni.
  Da Rey

  ReplyDelete
 11. Pole sana Sylvia. Mungu awajalie moyo wenye nguvu katika kipindi hiki kigumu.
  Stay blessed.

  ReplyDelete
 12. Nawashukuru wote.

  (dada Rey umekuwa kimya sana,)

  ReplyDelete
 13. Pole sana Sylvia kazi ya mungu haina makosa

  ReplyDelete
 14. pole my love
  yote ni mipango ya Allah.

  and Happy Birthday to you

  ReplyDelete
 15. ole sana sylivia...ila mie nilikuwa naulizia vile vidude vya kuhifadhia pete wakati wa wedding bado hujavileta tu kwa duka lako?

  ReplyDelete
 16. pole sana Sylvia. Inauma lakini ni sehemu ya mapito ya binadamu. Happy Birthday!

  ReplyDelete
 17. Pole na msiba mbele yy amtangulia na sie tuko nyuma Mungu awape nguvu katika kipindi hichi cha majonzi na usafiri salama na urudi salama

  ReplyDelete