Thursday, July 31, 2014

TABLE DECORATIONS. ....

Decoration ya mezani ama fruit busket ikiwa imeshafika nyumbani kwa mteja....na kwa mbali unaweza kuona door mat...yenye red and black..

Fruit busket bado ziko...karibuni homez deco..... na mikoani pia tunatuma mizigo. 0713920565 wasiliana nasi

SAA ZA UKUTANI. ... ZINAPATIKANA HOMEZDECO KARIBUNI. ..


 Saa za ukutani. ..bei ya kila saa ni 65,000.  Ukinununua saa 5. Bei ni 58,000.  Tunatuma mpaka mikoani......wasiliana nasi kwa maelezo zaidi 0713 920565.....Karibuni sana...
Thursday, July 24, 2014

MAKABATI YA DISPLAY KWENYE MADUKA YA NGUO...YANAUZWA BEI KARIBU NA BUREEE..0713920565

 Tunapenda kuwatangazia kua kua makabati ya mdf kwa ajili ya maduka ya nguo yanauzwa...bei nzuri mjo na yako piece 7. Yanahitaji finnishing tuu....Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi 0713920565.FLOWER ARRANGEMENTS. ....KAZI YA HOMEZ DECO....

 Haya ni maua artificial. .ambayo homez deco tunatengeneza. ....
 Unaweza kuweka juu ya meza ya dinning ama kwenye kona juu ya stool ama sehemu unayoona wewe ni wapipanapendeza......
 Wasiliana nasi kwa mahitaji ya maua...0713920565.  Na pia tuko instagram @ homezdeco


Thursday, July 17, 2014

WALLPAPERS. ....ZIKIWA ZIMEBANDIKWA NYUMBANI KWA MTEJA WETU.....

 Hapo ni sitting room ya mteja wetu ambae aliona tangazo la bidhaa zetu mzigo ulioingia..nae akaja dukani kwetu kununua wallpapers. ....na tukampa fundi kwenda kumbandikia..
Tunakushukuru mteja wetu....

Tuesday, July 15, 2014

DECORATIONS....ZAIDI.........ZIPO HOMEZDECO. ..0713920565


Picha za ukutani


Mashuka

Decorations za mezani...kabatini.. shelf za kwenye kona
Picha za ukutani


Decorations. .....

DECORATIONS. ....ZINAPATIKANA HOMEZDECO. .......


 Wasiliana nasi kwa Maulizo 0713920565