Monday, December 21, 2009

HIZO NI CLOSETS AU MAKABATI YA NGUO. Nyumbani kwa Mrs. Jossanne George
Wapendwa lazima tuzingatie upangaji wa nguo hasa kwa wale ambao wamejengea makabati ukutani, au hata una kabati lililojengewa, una kabati la kawaida la nguo panga nguo kufuatana na rangi tuepukane na jungle closets, rainbow colors nguo ziendane na rangi.

Hand bags, mikanda, viatu, mi binafsi nafanya hizi kazi huku kipindi hichi cha baridi tunaenda majumbani tunaorganise vitu mbalimbali, wezangu wao wana campany yao mi naenda kujifunza, tusiwe wavivu wa kujifunza, kila jambo be coachable, be ambitious, tuwe na kiu ya kujifunza kila tunapoenda, sehemu,wanawake wenzangu tusikalie kitu kimoja weee.

Maana wengi wa kina mama, wakina dada, kila kitu tunamwachia dada nyumbani afanye hii big dont, muonyeshe mfano dada, watoto, wako, ndugu zako, kwa muda kidogo unaoupata,

Huna muda kuna wenye uzoefu kama dada Sylvia watakusadia upangaji wa vitu ndani ya nyumba msiwe wabahili, usafi ,upambaji. Upangaji wa vitu ni garama, garamikia uishi ktk mzingira masafi tuzingatie sana rangi kuna rangi ambazo zinaendana na kuna ambazo kamwe aziendani hata kidogo, so uliza kuuliza si ujinga ni kuelimika.

Mama zangu, dada zangu, bibi zangu, hata baba zangu, na wengineo woote nawatakia merry x-mass from:

MRS KOKU JOSSYANNE GEORGE NY.

1 comment:

  1. I like this closet,mpangilio wa nguo na viatu ni bomba ....

    ReplyDelete