Tuesday, December 1, 2009

Ukimya huu wa siku moja sio wa bureeee!!!!!!!!!!

Naomba kuchukua fursa hii kwa ukimya wangu kuwaomba radhi, ila sio wa bure, nina suprise nilikuwa nikiwaandalia.

Tuonane tena kesho kwenye blog yetuuuu

Siku njema...

2 comments:

  1. jana niliboreka mno kuona hujaweka chochote hapa,ok nasubiri suprise,maandalizi mema

    ReplyDelete
  2. pole sana, na ndio maana nikaomba radhi my dear, sisi Watanzania tu wakarimu. nisamehe kwa hilo. siku njema

    ReplyDelete