Tuesday, September 30, 2014

NEUTRAL COLOR

 Hizi ni rangi zilizopooza... unaweza kupaka ukutani ama ukazitumia kwenye accessories ama sofas...etc....
 Hapa neutral color imetumika ukutani...na colorfull imetumika kwenye sofa na mapambo......na neutral color.. inakubali color yoyote ukitaka ku mix and match....

ART....

Niliipenda hii design ya mbao kwemye hii ngazi....hapa kwetu tunaweza.. ukipata fundi aliyetulia.... inawezekana kabisaaa.....

Wednesday, September 17, 2014

HABARI NJEMA KWA WATEJA WETU NA WADAU WETU WOTE.....KOKOTE MLIKO.....

 Homeze Deco tunayofuraha kuwajulisha kua... sasa tutakua tunawaletea vitanda vilivyo tayari...nikiwa na maana kua itakuchua siku 1 kupata kitanda.....na bei pia imeshuka... vitanda vya chuma vitaanzia 300,000 size 5 by6 na 6 by 6....behii huwezi  pata kokotee.....ni bei mpya hizi tumezianza.....na hii ni kutokana na uhitaji mwingi wa bidhaa hizi kwenu nyie wateja wetu na wadau wetu....
Sasa homez deco hua tunasikiliza wateja na kufanyia kazi maombi yenu....
 Tumeanzisha utaratibu wa kupata vitanda vilivyotiari.. na tutakua tunawaonyesha vitanda ambavyo viko tiari.....na kama haujataka katika hivyo nilivyotoa sasa ndio utoe order utengenezewe.. maana design ziko nyingi sasa inakua ngumu kutengeneza vyote....na ndio maana tumeanzisha utaratibu wa kutengeneza baadhi.....
 Vitanda hivi viko tayari...unalipa na kuchukua jioni yake.. yaani ni siku 1 umepata kitanda.....

 Vitanda hivi vinapatikana katika size 5 by 6 na  6 by 6 rangi unachagua wewe na kutuambia ipi unataka na utapakiwa uliyochagua.

 Bei ya vitanda ni kuanzia 300,000 mpaka 400,000 hii ni 5 by 6.
Na kuanzia 300,000 mpaka 500,000 hii ni 6 by 6.

Wasiliana nasi kwa namba 0713920565.  Mikoani pia bidhaa zetu zinawafikia...
Na bila kusahau...usafiri ni juu ya mteja...karibuni.

OFFICE FLOWER ARRANGEMENTS. .....AVAILABLE AT HOMEZ DECO....

 Homez deco tunayo furaha kuwajulisha kua.. tuna huduma ya kutengeneza maua ya maofisini... iwe ni reception ama kwenye kumbi za mikutano....ni maua artificial. ..
 Haya ni maua ambayo homez deco tumetengeneza.... na hapa ni yakiwa yamefika kwenye ofisi ya mteja wetu...
Artificial flowers hua yanadumu muda mrefu.. ni utunzaji wako tuu... yanaweza kukaa hata zaidi ya miaka 3 na kuendelea bila tatizo lolote....

Napenda kushauri kwenye maofisi... kua muweke artficial flowers.. kwa wale wanaopenda ku cut costs...maana hili ukinunua mara moja ni basi....

Tuwasiliane 0713920565 kwa mahitaji yako ya maua ya maofisini....

Wednesday, September 10, 2014

MZIGO MPYA WA SAA ZA UKUTANI.....2 IN 1...


 Hizi ni saa za ukutani... na pia ni picha za ukutani....2 in 1.
 Saa hizi zote za juu zilizo pisi 3 bei ni 90,000 kwa I kama zilivyo.


Hizi pia ni saa ziko pisi 4.. saa na picha bei ni 105,000.

Kwa mahitaji wasiliana nasi 0713920565. Mikoa yote ya Tanzania tunatuma.....
Nb. Hizi saa hazina bei ya jumla.. ni rejareja tuu...karibuni.

Monday, September 8, 2014

BEFORE MEETS AFTER....
 Hapa ni nyumbani kwa mteja wetu Arusha....alinitumia picha yake ya nyumbani kwake nimpe ushari aweke rangi gani ya cussion covers...nikamwambia....tunahitajika kupa ongeza brightness maana kuko dark.....
Hapa ni baada ya kuweka mito ....na huu ndio muonekano wa sebule yake.....nikamshauri bado picha ya ukutani. ..maana ukuta uko wazi...amekubali sasa anasubiria picha za ukutani nilete....


Kwa mahitaji yako ya pillowcases and pillows.....na ushauri pia...karibu wasiliana nasi ...

WALL DECORATIONS.......

Hapa ni nyumbani kwa mteja wetu...baada ya kuona hii nafasi iko wazi... hapo ni dinning.. na pembeni kuna makabati...akaja kwetu....akanunua hizi decorations na tukaenda kumpachikia kwenye ukuta wake... decorations hizi ni mbao na tunatengeneza wenyewe....karibuni kwa mahitaji ya decorations....Wednesday, September 3, 2014

SAA ZA UKUTANI....ZINAPATIKANA HOMEZ DECO KWA BEI POA....MNO....

 Bei ni 65,000.
 Bei ni 70,000.

Hizi ndio aina ya saa zote zipatikanazo homez deco....ni saa za ukutani....
Kuna saa za jikoni.... sebuleni... vyumbani.... etc..

 Unaweza pia peleka zawadi...kwenye harusi.... kitchen party.... birthday. ..sendoff...ama kama mnamuaga mwenzenu kwazini...etc....


 Hizo za juu ni 65,000.

 Hizo 2 za juu ni 70,000.

Hizo juu zote ni 65,000.

Mikoa yote ya Tanzania pia tunatuma saa hizi....
Ukinunua kuanzia pisi 5 bei ni 58,000 kwa saa 1.

Wasiliana nasi 0713920565.