Friday, December 18, 2009

Tumebakiza siku 6 kabla ya X-mass. Kwa mahitaji ya kupambiwa nyumba yako kwa gharama nafuuu tuwasiliane 0713 - 920565. HAUJACHELWA


JINGLE BELL JINGLE BELL, JINGLE ALL THE WAY..........ehheeee ahaaaa yeayaahhh (hahhahah) hii ndio freee style yangu jamani........eeeehhhh yeaayyaa mikono juuuu itikia basiii....... (hhahaha)

Sasa basi leo ni ijumaaa ya tarehe 18 Dec, 2009. Bado hujachelewa kupamba kwa ajili ya xmasss ya 2009.

Tips za kupamba nyumba yako ndani ya siku moja:

 • Fanya usafi nyumba yako, ikiwa ni pamoja na kutoa vitu usivyovitumia.
 • Badilisha arrangment ya funicha zako
 • Kama una mito kwenye makochi yako badilisha cover zake ila ziendane na rangi za nyumba yako(kama huna nunua)
 • Piga rangi ukuta unaokaa tv.
 • Nunua mti wako wa x-mass na upambe ama nunua ukiwa umepambwa
 • Kama kuna kioo kimevunjika kiondoe na weka kingine, kwenye stool,meza etc
 • Punguza makolokolo nyumbani kwako
 • Angalia kama picha za ukutani zimekaa kwa mpangilio na kama ni nyingi punguza
 • Je carpet lako lina uzima? kama halina nunua lingine
 • Mapazia je? yana hali gani? kama mazima bado yafue ama badilisha na ununue mengine.
 • Tandika vitanda vyako kwa mashuka safi na kwa usafi
 • Toa makolokolo uliyoyaweka stooo ama chini ya uvungu na ugawe kama si kuchoma etc.
Hizi ni Baadhi ya Tips za kupamba wakati huu wa sikukuu ya x-mass na mwaka mpya,

KREATIVE HOMEZ HOMEZ DECO IKO KWA AJILI YAKO, kwa mahitaji yako tuwasiliane kwa namba 0713 -920565 na tutakufikia na kukupambia nyumba yako kwa bei nafuuuuuuuuu

1 comment:

 1. Hellow! Mpenzi, bado tunasubiri mzigo wa xmass, it's only 3 days left mamii.

  ReplyDelete