Monday, December 7, 2009

Ubunifu huooooo

Hivi ni vitanda vya watoto, cha chini ni cha mtoto wakiume na hiki cha juu nicha mtoto wa kike. Niliombwa na mdau wangu nimletee design za vitanda vya watoto, natumai nimekuridhisha.


No comments:

Post a Comment