Monday, February 14, 2011

Happy Valentine's Day - 2011

Kwa wadau wote wa blog ya homez deco, napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba radhi kwa kuwa kimya, nimekuwa nikiwakumbuka sana sanaaaaaa, mniwie radhi kwa hilo.

Mwaka huu umekuwa ni mwaka wa furaha kwangu kwa kuwa mungu amenibariki mtoto wa kiume tarehe 8/02/11. Furaha niliyonayo kwa kweli sijui niielezee vipi, na itachukua siku kadhaaa.

Nimejifungua salama na mimi na mtoto tuko salama. Mtoto anaitwa Jaydan.

Sometimes siamini kama eti nimeanza kuitwa mama Jaydan yaani nina a.k.a?. Mungu ashukuriwe na apewe sifa.

Me and Jaydan we are wishing you a HAPPY VALENTINES DAY.

Photos za Jaydan zitawajia muda sio mrefu.

From Sylvia a.k.a mama Jaydan
Homez Deco - Director