Kwa huku usa tunatumia sana, michoro sketches, au tunaweza kuita ramani, zinasadia sana, kujua nimaua gani, au miti gani inafaa kwa eneo, unalotaka kuweka gardens , pia kitu kingine kikubwa ni climate , weather.
Kwa mfano Dar es -salaam, lazima maua yake yawe yanastahimili jua, joto. Mvua za Dar ni za msimu tu, kwa hiyo kwa Dar, hata bushes, shrubs zake ziwe za kustahimili joto na ju.
lla sehemu kama Lushoto, Arusha, Moshi, Bukoba, kuna aina nyingi tu za maua ambazo unaweza kupanda. Pia mchanga wa Dar siyo mzuri kwa maua maana mchanga huu una chumvi, ila kwakuchanganya na udongo mwingine yaani top soil mbolea, na maji inasadia sana.
Maua au miti ni mihimu kuzingatia niliyoyasema, utafanikiwa kuwa na gardens nzuri za kuvutia.
Maua ambayo yaweza kupandwa Dar, ni boganvillia, ibisicase, palmshizo ni zile ziko kama minazi, ila fupi, in lawn, kwa Da,r inatakiwa kupanda bermuda grasses, yaani yale majani tunaita ukoka kwa Dar.
Unaotakiwa kupandwa unaitwa bermuda grass, yanastamili, jua, joto, majani haya yanaitaji mvua kiasi pia yanaifadhi maji kwenye mizizi kwa muda mrefu, tu na yanahitaji kukatiwa mara kwa mara.
Kwa mfano pale royal palm hotel, yale majani waliootesha pale mbele ya jengo angalieni ndugu wasomaji wa blog hii, yanavyostawi vizuri, always yako kijani. Kwa sababu yanangaliwa inavyotakiwa ndio maana ukifanya land scaping lazima upewe na maelezo, ya ungaliaji kama ni umwagiliaji maji, usizidishe, wala kupungza,maana unaweza unaweza kusababisha, hasara, na lazima tuzingatia hivi vitu, ndugu wasomaji.
KUWA NA VIFAA, HUSIKA NI MUHIMU SANA, KWA GARDENER
YOYOTE, IWE NI HOTELI, HOSTPL, MAJUMBANI NA MASHULENI MAJENGO YA SERIKALI.
Najuwa kuna watu vikundi, au kampuni ndogo ndogo zinazofanya hizi land scaping,wengi wao hawana, ukiwa gardener landsscaper lazima , uwe na vifaa kama vile, glovers za gardening, nitofauti, na za, kufanyia usafi, clear glass yaani miwani, Special, boots lazima kwa usalama, wa mfanyakazi, ni muhimu sana.

Pia wenye kampuni zenu mliopo, kuweni na uniforms kwa wafanyakazi wenu hii ni professional kama zingine lazima ipewe umuhimu tutazidi kuelimishanam zaidi.
LANDSCAPER FROM NEW YORK MRS. JOSSYANNE GEORGE (KOKU).
MUNGU AWALINDE NA KUBARIKI
MUNGU AWALINDE NA KUBARIKI
ASANTENI.
Makala hii imetolewa kwenu na Mrs. Jossyanne, Kama nilivyoahidi kuwa ningeongelea swala la garden jumatatu ya wiki hii, ila nilishindwa kutokana na nje ya uwezo wangu.
Na Kuhusu Landscaping Mtaalamu huyu atakuwa anawaletea makala kila mara. Kwa maswali usisite kuuliza. (Nimeamua kumuomba Mrs. Jossyanne awe anatuletea makala ya landscaping kwani yeye ni mtaalamu sasa na mimi sitaku ku ng'ang'ania profession za watu jamani)
Mama B-Mwanza upooooo!!!!!!

Nipo dada, nimewapata vizuri sana, yaani natamani kama ungekuwa karibu vile,
ReplyDeleteNinge-furahi sana. ila ngoja nipate picha nikutumie hapo mambo yataenda vizuri.
Tunashukuru kwa salam za X-mas pia nawe.
Bye! Bye!
mama Brian
mwanza