Thursday, December 17, 2009

Umeshawahi kukutana na vyoo kama hivi? Ukajisikiaje? Ilikuwa ni nyumbani kwa mtu ama ofisini, etc? Ni wapi imekukuta?2 comments:

  1. sylvia nimeingia kwenye nyumba moja nikakutana na hiyo hali jamani mkojo uliniisha, ila sababu nilikuwa karibu na yule mwenye nyumba nilimweleza na nikamwambia kitu cha kufanya. mpaka leo huwa ananishukuru. Nimegundua sio watu wote wenye hela wanajua kuzitumia vizuri


    Hilda

    ReplyDelete
  2. Mh kwa kweli wanawake kwa wanaume, choo ni muhimu. Kama hakuna sabuni ya choo osha hata kwa jivu lol! That is the simple trick from my mama.

    ReplyDelete