Friday, May 9, 2014

USAFI WA MILANGO YA MBELE YA NYUMBA ZETU.Asilimia kubwa ya nyumba za Kitanzania milango ya mbele ya nyumba zetu hua hatuitumii....yaani labda mgeni kaja...au labda tunataka kuiniza vitu ndani ndio tunatumia huo mlango.

Asilimia kubwa hua tu atumia mlango wa nyuma ambao ni wa jikoni...

UFUNGAJI WA AC KARIBU NA DIRISHA
Thursday, May 8, 2014

SHADES OF YELLOWS. ......


Rangi ya njano....ikitumika vizuri huleta mvuto na hupendeza.......na kwa sababu rangi hii ni kali basi inashauriwa kutumika kidogo...sehemu ambapo unataka itumike....

Monday, May 5, 2014

AC KWENYE NYUMBA ZETU.
Ndugu wadau....hua najiuliza sana na sipati jibu..ya kwa nini kwenye nyumba zetu ile sehemu yenye AC kwa chini yake hua tunapaacha wazi hatuweki hata picha ....maana hua panaonekana pako wazi mno....

Friday, May 2, 2014

KITI HIKI NI CHA SALOON.......HARD WOOD.. Hard wood unaweza kupiga rangi yoyote ile utakayo na ikatokea vizuri mno.....

HARD WOOD. ...LOVE CHAIR.....


 Kiti hiki cha watu wa 2 kimetengenezwa kwa kutumia mbao ya mninga.....