Friday, February 28, 2014

NEUTRAL UKUTANI NA COLORFUL KWENYE FANICHA NA MAPAMBO.......


Kuna njia moja rahisi sana kwa wale wapendao colorfull kwenye nyumba zao....iko hivi...unapopaka rangi ukutani ambayo ni colorfull halafu ukaja ku mix and match na fanicha na mapambo.....hua inakuja kukuchosha baada ya muda.....na mara nyingi ni kua tunapaka rangi zisizoendana.....

Thursday, February 20, 2014

COLOR IDEAS FOR YOUR LIVING ROOM. .....


Inategemea na wewe mwenye nyumba unapenda color gani....kwa mimi mara nyingi humuuliza mteja maswali ambayo hunisaidia kuweza kujua mteja anapenda rangi gani...ama vitu gani...maana wengi wetu wanadhani kua ukumuita interior designer ndio tayari anafanya kila kitu bila kukushirikisha....hapana hua hatuendi hivyo......

Nashauri unapomuita desiger wako kwa ajili ya nyumba yako ama ofisi...jitahidi kutoa detailss zote za nini unapenda...nini hupendi..unataka kuweje ukiingia nyumbani kwako ama ofsini...yote haya yatamsaidia designer kukufanyia kazi yako....

Tu nachokosea ni kutokua wawazi ama kuogopa kuonekana hujui...jamani hakuna mtu kazaliwa anajua....ni kua elimu tumejifunza katika secta mbali mbali.....

Homez deco hua tuna discuss...na kuulizana maswali na kuongea ili kujua nini unataka...kumbuka nyumba hiyo unakaa wewe sasa inabidi ikuwakilishe wewe mwenye nyumba na kukupendezesha...

CURTAIN DESIGNS... ...........

Tuesday, February 18, 2014

MITO YA MAKOCHI........

 Napenda kumshukuru mteja wangu huyu wa tabata....kwa kutuletea kazi yake....nasisi kama homez deco tumeifanya kwa uangalifu mkubwa na umakini........unaweza kusema ni kazi ndogo....ni kweli kazi sio kubwa sana.....ingawa watu hudharau pale unapompa bei ya kazi yake jamani kila siku nasema kizuri ni rahisi....na kibaya ni gharama.......

METAL FURNITURES...AVAILABLE AT HOMEZ DECO BY ORDER......

 Meza na stools zake 2 bei ni tshs. 300, 000.
 meza peke yake ni tshs. 200, 000.

BEFORE AND AFTER LIVINGROOM ...........

 Homez deco tulipata kazi ya kubadilisha cusions za sofa...pamoja pillow ndogo za sofa kwa mteja wetu huyu.....alipenda silver kwa mito mikubwa na mito midogo iwe ni color combo....

Wednesday, February 12, 2014

TOPIC INAYOFUATA.....NI KUHUSU VYOO NA MABAFU YETU...Topic hii ninamalizia kuiandaa.....na kuiweka kiufasaha...na iweze kueleweka....maana katika nyumba zetu kumekua na makosa flan flan ambayo yangeweza kuepukika.....ama kuzuilika....

INAPATIKANA HOMEZ DECO...BY ORDER....RANGI YOYOTE.....


kiti hiki kinaweza kukaa chumbani kama una chumba kikubwa ama chumba cha kuvalia viatu....ama korido....na hata sittingroom .....

kinapatikana kwa order....price ni 700, 000.....ila bri inategemea na ukubwa...yaweza kushuka ama kupanda...

Karibuni..

Thursday, February 6, 2014

NYUMBA ZA GHOROFA....KWENYE NGAZI....


Baadhi yetu tuna nyumba za ghorofa...ambapo kwenye ngazi hua tunaweka dirisha na kufuatiwa na pazia........baadhi ya nyumba hizi zimekua zikipendeza naa baadhi zimekua hazipendezi kutokana na  aina ya nyumba ama ukubwa wa sehemu....

QUOTE OF THE DAY....Note:  mnaweza nifuata pia instagram  @homezdeco
            Karibuni.....

METAL SOFA .......LIKIWA TAYARI KWENDA KWA MTEJA...


 Mteja alipenda rangi ya sofa iwe black na silver....na homez deco tukafanya kazi...na hivi ndivyo inavyoonekana baada ya kwisha......

Monday, February 3, 2014

CHOOSING AND PREPARING TO INSTALL A CEILING FAN.


I’ll spare you the details on how to actually install a fan, but will share some tips and helpful hints for what to do before and during the process of installing a ceiling fan.
When you head to the store (or search online) to choose a ceiling fan, you’re going to see lots of options!  Not all fans are made the same. There are different size fans for different sized spaces.  Some fans have lights, others don’t.  Some are decorative, others are very simple.

When choosing a style, keep these tips in mind:

1. Choose the right fan for your space – Depending on the height and size of a room, there are different types of ceiling fans that fit best.  Take a look at this chart to see what will work best for you.


choose the right size for your space – Ceiling fans are available in different sizes depending on the square footage of the space.   eg. master bedroom is about 200 square foot, so I decided on a medium size fan that is 44″.  in the family room I’ll need to use a large fan because it’s about 300 square feet.  Choosing the right fan for the appropriate square footage is important to achieve maximum comfort and air efficiency.

WHY SHOULD YOU HIRE AN INTERIOR DESIGNER!

1. We have contacts. Designers have access to trade only resources that are not often available in retail stores and are often deeply discounted from retail costs.  Additionally, being in the design / building field, Designers often have formed relationships with kitchen consultants, millworkers, plumbers, electricians, etc.  We can get the right people for the job!


2. Designers have passion.  I live and breathe design.  From my blog to my business, design is what I know and what I do, day in and day out.  It’s not just my job, but a hobby and career that I’m truly passionate about, which is reflected in every one of my creations.

3. Project Management.  Whether a homeowner desires a few new accessories or an entire kitchen renovation, alot of time and effort is needed for project management and coordination.

4. Space Planning.  Determining the best furniture layout for a space is critical in how the room functions and how it reads aesthetically.  When I meet with a client, we discuss the pieces that they want to repurpose or eliminate, and what needs to be added. Planning the space is HUGE (and my favorite part)!

5. Designers push you.  Not literally (well, some may, hehe) of course.  Designers are trained to know scale, proportion, color, size, texture, etc. so that a space is unique and personal, and not directly taken out of a catalog.  I like to introduce elements into a space that my clients wouldn’t have chosen without me.  Sometimes pushing the limits truly makes for an amazing result.

6. Designers listen  When working with a Designer, the designs are exclusively for you and your project. I listen to my clients needs and wants to direct / assist them so the result is a space that reflects their personality and style.


7. Designers create and work within a budget. (most of the time) A good and experienced Designer will work within your budgetary means (and/or tell you up front if your scope is/isn’t possible within your budget) and make a plan before anything is purchased.

8. Designers think outside the box and give a fresh perspective.  The mind of a Designer is simply made up differently.  We can see things that others may not and we think outside the box to provide fresh ideas and a unique perspective for a space.

9. Designers can save you time.  Think about all the time (and gas) wasted by buying items, not being happy with them once at home, and then returning them.  Has that happened to you once or twice?  When I work with clients, many never step foot into a store or showroom (unless they want to), because I bring samples, images, and pieces to their home.  

10. Designers can save you money.  When making interior selections and decisions for one room or your entire home, it can be overwhelming and it’s possible that you’ll make purchases or choices on items that are either not worth the cost or won’t “live” for long.  With a Designers (like me) assistance, direction, and know-how, they can steer you in the right direction so the entire space can come together as a whole.  Let me ask you this – How many times have you purchased 2,3, or 4 different gallons of paint to repaint a room and you still weren’t satisfied?  Maybe once or twice??  Be honest…  With a Designers perspective, big bucks can be saved, along with the countless wasted hours.  

I hope you learned a little something, especially that working with a Designer is attainable for anyone with any space and any budget!  If you are in the market for a Designer or if reading this post peeked your need to finish up the space you’ve been working on for the last year, please contact us: 0713 - 920565..
ODA ZA MIKOANI.....

Wapendwa wadau wetu na wateja wetu......

Tunapenda kuwafahamisha kuwa oda za mikoani tunapokea na zinafanyika na zinatumwa kwenu mikoani....gharama ya kutuma ni kutokana na mkoa uliopo...nani juu ya mteja......

Tunapenda kuwakaribisha wote karibuni mtoe oda na zinafika bila wasi wasi.....

Asanteni na karibuni sana....

From
Sylvia Namoyo.
CEO