Tuesday, December 15, 2009

X-masss & New Year Preparations!!!!!!

Habari ndugu wadau wooteee, kwa sasa Homez deco tuko kwenye maandalizi ya X-mass na New Year, hivyo ndani ya siku tatu hizi mzigo utakuwa uko dukani, nitawajulisha.

Nawatakia siku njema.

Sylvia
Director.

No comments:

Post a Comment