Wednesday, December 2, 2009

Hii ndio surprise niliyokuwa nikiwatayarishia.

Huyu ni Mrs. Jossyanne George. Ni Mtanzania aishie Marekani, yeye na mumewe wame specialize kwenye Landscaping. Nilifahamiana nae kwa mara ya kwanza alivyoona blogsite yangu mwezi wa nane mwaka huu na ndio ilikuwa bado ngeni, alinipigia simu kutoka marekani na tuliongea sana na kunieleza anachokifanya. Kwa kweli nilifarijika sana na amekuwa kama dada yangu sasa, na bado tunaendelea kuwasiliana vizuri sana. Ninachoweza kusema ni kuwa watanzania tunaweza na tusichague kazi, kama unaiweza na unaipenda ifanye, na Mungu atabariki kazi ya mikono yako. Mimi pamoja na Mrs. Jossyane tutakuwa tukiwaletea makala ya kuwaelimisha kuhusu landscaping walau mara moja kwa wiki kupitia blog hii. nyumbani kwangu (mrs. Jossyanne nikisadiana na mume wangu tumekuwa pia tukipanda maua, miti yaaani shrubs, kwenye majumba ya watu wengine kama hapo picha za hapo chini zinavyoonyesha. Tunaweza kuelimishana, kupitia blog hii, itakuwa vizuri sana, dear, maana, hiii landscaping kwa mfano weather, climate ya dar, na maua yake ni tofauti na ars, au msoma na upandaji wa miti,okay enjoy my dear. Mrs. Jossyanne aliniliuliza kama tunaweza kuelimisha kupitia blog hii nikamwambia inawezekana.


6 comments:

  1. hi ma,unazo designs za makabati simple kwa ajili ya watoto wa kike?kama zipo tuwekee tafadhali
    kazi njema

    ReplyDelete
  2. Mamii, asante kwa kazi yako nzuri. Mimi pia nahitaji kabati simple kwa mtoto wa kiume,ila nina sample yake naweza kukutumia? I had one, limeanza kuharibika,ila nahitaji la mbao sio metal

    ReplyDelete
  3. hahahhaha jossy mie nywele zako tu...shost kumbe hodari uko katika kila sekta ngozi nk ...keep it up nikimaliza mjengo wangu uje unifanyie mamboooo

    ReplyDelete
  4. mambo mama collin, usijali nitumie tuu kwa email yangu niione hizo designs. karibu

    ReplyDelete
  5. hi shem!nimeona utaalam wako nitakutafuta wakati muafaka.keep it up.seif Dubai.

    ReplyDelete