Wednesday, October 28, 2009

Ubunifu. I LOVE IT

Kwa wale tusio na vyungu vya maua haya ubunifu tunaendeleza

Ubunifu wa gardening huooo

jamani tuige nasi hii mifano ya garden za wenzetu, kwa watoto ni sehemu nzuri sana jamani, yaani ukiangalia kwa karibu karibu cartoon zote wametengenezea na kuweka kwenye garden. Inapendeza kwa kweli.  INAWEZEKANA  KWA HAPA KWETU