Monday, December 14, 2009

simple and sweet


6 comments:

 1. Sylvia, nimekipenda kitanda na vitu vyote pamoja na decorations. Vinapendeza sana. Hongera!

  ReplyDelete
 2. Hi Emmy, asante sana, nakukumbuka mashuka yako, by thursday yatakuwa dukani yaani wee wa kwanza kukutaarifu. nitakujilisha saa ngapi.

  siku njema

  ReplyDelete
 3. jamani sylvia mi nilikuomba designs za stendi za kuwekea viungo jikoni hata hukunijibu!au kwakua sijui jina lake?!thawa!!!

  ReplyDelete
 4. hi,

  please usisikitike jamani, ninakutafutia nikuweekeee sio kama nimekusahau, ninata design nzuri nikuwekeee, nipe muda kidogo my dear. samahani sana.

  ReplyDelete
 5. hi sylvia mimi ni mpenzi sana wa blog yko,kwanza hongera sana pili mashuka hayo na hyo mito ni sh?

  ReplyDelete
 6. Hi Sylvia nimependa sana blog yako mi ni mpenzi sana nyumba yaan kudecorate,nitakuja unipe ushauri kuhusu arrangment na colour ya nyumba yangu.Hongera sana

  ReplyDelete