Thursday, December 17, 2009

Asante Shamim aka Zeze....... Ila kuna ushauri kwa ajili yake

Zeze mi nilikuwa na ushari kwa dada yangu Jay Dee, kuhusu upangaji wake wa nguo, nimemtolea mifano ya haya makabati. Makabati haya hata mafundi wetu wanatengeneza ukiwa pelekea sample. Yeye kwa nilivyoona kwenye picha ni ana nguo nyingi na ni huwa anafanya shopping ya nguo mara kwa mara kwa nilivyoona hizi picha, sasa cha kumsaidia ni kuwa aangalie sample za makabati niliyotoa then achague ila kwa ushauri wangu sample ya kwanza hapo juuu ndio ingemfaaaa, na angeitengenza kwenye upande wa ukuta mmoja kwani it seems chumba hicho hicho ndicho cha viatu, nguo etc. Sis, ukipata hii kabati panga nguo kwa kutumia steps hizi:
 • Kwa rangi
 • Mashati peke yake
 • Sekti pekeyake
 • Suruali peke yake etc. Ila cha msisitizo zote hizi ziwe kwenye mpangilio wa rangi zinazofanana.
I WILL BE HERE IF SHE NEEDS MY HELP.

5 comments:

 1. hongera sana dada kazi zako bomba yani umenigusa sana!kila la kheri.

  ReplyDelete
 2. Kwajili yako na wateja wako,haya makabati yana milango kwahiyo yanafungwa hayabaki wazi km yaonekanavyo pichani,wanaonyesha kwenye picha hivyo ili ujue mpangilio wake unavyokuwa kwa ndani,kwahiyo km unatengenezea wateja weka milango,usifanye km kwa Jd matokeo yake ametuonyesha alivyo rafu ndani mwake tena hasa chumbani.
  My opinion ive gt right to it.
  Thank you

  ReplyDelete
 3. Asanteni sana wadau wangu.

  Namshukuru mungu kuwa ninapokosolewa ama kusahihishwa ama kuambiwa ukweli huwa ninafurahi sana kwa sababu hakuna binadamu aliye sahihi, hivyo msichoke kunisahihisha.

  Kuhusu haya makabati huwa na milango ila kama lingekuwa limefungwa, mngewezaje kuona mpangilio wa hizo nguo??????? na mimi lengo langu ni muone mpangilio wa nguo wajameni.

  I hope anonymous wa pili umenielewa na nashukuru sana.

  ReplyDelete
 4. Nafikiri Jide akipata hilo kabati litamsaidia sana kwa kweli. Maana ukikosea upangaji wa nguo kidogo tu ujue unaonekana rafu kwa namna fulani

  Hilda

  ReplyDelete
 5. very true hilda, rum ya jaydee hata kama ni walk-in closet inaonekana rough sana and its so messy, some additionalt tips for al the ladies nadhani wote tunahaya matatizo
  1. make sure kama nguo hauna mpango wakuivaa in the next 1 month, put it away -injaza kabati tu
  2. sio wote makabti or shelfs ambazo ziko wzzi kwambele zinatufaa, if u r not that organized, find kabati linalofunga kwambele kumbunguza msongamano wa vitu az an outlook

  ReplyDelete