Tuesday, March 26, 2013

Tips on how to pick your exterior walls for your Home....






1. When selecting exterior paint colors, take the fixed colors into account (like the roof, brick, stonework or any stained wood), and make sure all the colors look good together.
2. Be kind to neighboring properties. Chose colors that won’t clash with the immediate vicinity.
3. A large, boxy house can be broken up by using a trim color that contrasts the body color. A small house will appear larger if the trim is painted the same color as the body of the house.
4. Light colors will help keep a home cooler in warmer climates because they absorb less heat. Conversely, dark colors will help keep a home warmer in cooler climates because they absorb more heat.
5. While color preferences have gone darker in the past few years, light to medium value colors continue to be popular.
6. Remember that colors intensify and look brighter in daylight on the outside of a building than they do on the color chip. For best results, purchase a quart of paint in the color(s) you are considering and brush on a sample.
7. Things that are utilitarian should be painted the same color as that area around them i.e. downspouts should be painted the same color as the surface on which they sit. Feature elements can be highlighted as a whole, i.e. louvered vent.
8. If you know you have any form of color blindness or cataracts, have someone without these conditions assist you with your color decision, preferably a professional color consultant.
9. Some communities have restrictions on what colors can be used on house exteriors, so check this out before you make your choice.


Baadhi ya maeneo ambayo Mr. Joe & Mrs Jossyanne - waliyofanyia kazi - USA



 Unaweza kuitumia hii mbolea ya mulch  kwenye mimea,   maua,  majani, kabla haujapanda, au baada ya kupanda, lazima  gardens ziwe maintained , mara kwa mara,  kama mnavyoona hapo,   kwenye picha  tunaweka mbolea kwenye miti,  ambayo mbolea ya mwanzo iliyowekwa ilishapotea aridhini ,   ili miti , maua au majani yamee vizuri yanahitaji,  mbolea ya kutosha. 

Tuesday, March 19, 2013

Sio kweli ukishapanda miti ama majani ndio umemaliza kazi.....

 Kuna  garden maintenances, lazima zifanyike na kila mara, kama vile plunings,  trimming,   cutting downs un wanted tree limbs , gardens ili zionekane nzuri  lazima matunzo yawepo,  kama vile unavyofanya car services, na  gardens hivyo hivyo. 





From:
Mrs Jossyanne 
Landscaper
USA

Mbolea ya black mulch kwa ajili ya mimea




    Hii mbolea inaitwa black mulch, mbolea hii hutokana na miti iliyokatwa ama kudondoka, majani yaliyodondoka, wanyama waliogongwa barabarani, ama kufa, kwa ufupi mizoga....miti ya x-mass ikiisha muda wa kutumia, inakusanywa na kiwanda huisika hupita kukusanya, ni mbolea   nzuri sana kwa mimea, maua miti majani, nk, na ina rutuba sana kwenye mimea  ya aina yote. Husaidia sana, kuifahidhi  maji,   ardhini kwa muda  mrefu, sana hata wakati wa jua kali.   

Tunaitumia  kwa wingi sisi ma landscapers, in  northern states, i am not sure in southern states, ila kwa ujamla ni mbolea  yenye    rutuba sana. 

Huku kwetu, hatutupi vitu....hua vinakusanywa na kutengeneza vitu vingine.....na pia inasaidia sana sana, kuweka jiji safi....








Mimi binafsi hua ninafikiria kipindi cha x-mass ile miti ingekua inakusanywa , ama hiyo mizoga barabarani na kutengeneza hii mbolea, na ingesaidia ajira kwetu sisi watanzania pia.....


From:
Mrs. Jossyanne 
Landscaper
USA

Friday, March 8, 2013

Nyumba ingine iliyotumia rangi hizi za Dulux - (Homez Deco - Dealer of Dulux Paints)


 Nyumba kwa mbele....nyumba bado ni mpya, haijahamiwa....na ndio maana unaona mabox etc.....ndio iko katika hatua za mwisho mwisho ya maandalizi ya kumalizia finnishing ya nyumba........
 Nyumba kwa pembeni.....Nyumba hii imetumia ndoo 3 za rangi nje ya nyumba ambazo ni weather guard Dulux...

Wednesday, March 6, 2013

Nyumba Iliyopakwa rangi za Dulux, Ndani na nje.... Nyumba ni mpya....



 Hii ni nyumba iliyopakwa rangi za Dulux....tulitumia rangi kwenye ukuta wa nje inaitwa Mohawk Valley litres 25, na kwenye hizo balcon zote mbili na kona za kwenye nyumba, rangi inaitwa Beige Sand Litres 10 ndio iliyotumika....
 Hili ni sink la nje na bafu la nje ambalo tumetumia rangi ya Mohawk Valley litres 5...
 Ukuta huu wa nje
 Ukuta wote huu kuzunguka nyumba tumetumia rangi ya Beige Sand ndoo 4. (kila ndoo ni litres 20)
 Nyumba hii ina vyumba 3 vya kulala, jiko, public toilet, dinning, sitting room, na corridor kama inavyoonekana....Nyumba hii yote rangi za ndani ilitumia ndoo 3 ambayo ni litres 60.. za rangi.....Silk, wash 'n' ware
 Ukuta wa nje....kama unavyoonekana...

Nyumba kwa upande wa ubavuni.....


Tunakushuru mteja wetu kwa kutumia rangi zetu za Dulux, na wewe mweyewe umejionea matumizi yake ya rangi kua yanakwenda kidogo.

NB:
Kwa kutumia rangi za Dulux, huwezi kugombana na fundi rangi, kua amekuibia ama etc......Rangi unatumiakidogo, nani nzuri zina muonekano mzuri......

Tunawakaribisha wadau wetu wote mje kutumia rangi hizi na muone mabadiliko ya utumiaji wa rangi hizi.....

Tuwasiliane kwa email ama simu muda wowote......

Karibuni......

Monday, March 4, 2013

Ofisi za Homez Deco .........& tumekua ni wakala halali wa rangi za Dulux. (Sadolin Paints Ltd)

Ninayofuraha kuwajulisha kua sasa Homez Deco ni wakala halali wa Dulux Paints.....na Sadolin Paints......Tutakua tunatengeneza rangi hapa hapa ofisini, na unaondoka nayo ndani ya dakika ama saa kulingana na ukubwa wa order yako......Rangi aina zote zinapatikana hapa, za nje, za ndani etc......Tuna catalogue ya rangi zaidi ya rangi 3200...........

Ninamshukuru Mungu kwa mema yote anayonitendea na anayoendelea kunitendea.......Mungu ni mwema kwetu sote.....

Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wadau wangu wote, maana bila ninyi nisingekua na mafanikio haya niliyo nayo.........
Shukrani zingine ziwaendee wateja wangu wa rangi ambao ndio walioniwezesha mpaka hapa nilipo, Mrs. Pamela, Mrs. Consolata, Dr. Sara, Mr. Anthony, na wengineo wengi.........hawa ni baadhi tuu ambao watawawakilisha wenzao kwenye shukrani hizi......


 Huu ndio muonekano mpya wa ofisi za Homez Deco.......kwa nje......wafanyakazi wa Sadolin paints, wakileta machine za kutengeneza rangi.......
 Gari likiwa limeteta machine za kutengeneza rangi na kuchanganya.....
 Muonekano wa nje ya ofisi.....

Nyumba hii Imepakwa rangi za Dulux......imetumia ndoo 3 tuu....za rangi.


 Hapa ni baada ya kupaka rangi za Dulux kwenye nyumba hii....Tulichagua rangi aina mbili.....nikiwa na maana kwenye nguzo, kona rangi iwe ni moja, na sehemu ya nyumba iliyobaki basi rangi iwe ni ingine.....Rangi ya ukuta wa nje inaitwa Beige Sand, na rangi ya kwenye nguzo na kona inatwa Mohawk Valley...Rangi hizi ni Weather guard.....ni mahususi kwa nje, maana zinakabiliana na hali ya hewa yoyote ile, iwe joto, mvua etc....na bado itakua iko vile vile......kwa kipindi kirefu......

 Nyumba hii yote nje imetumia rangi ndoo 2 , na kwenye kona na nguzo ilitumika ndoo 1.....Rangi hizi hubana matumizi ya rangi kutumika nyingi......na finnishing yake ni nzuri......Halafu kuna kitu kimoja....kwenye nyumba nyingi kuna kua na tatizo la kubanduka kwa rangi ya scarting ya chini.....kama hapo inavyoonekana kwenye picha hiyo rangi nyeusi ya chini.....Ningependa kuwajulisha kua, tatizo hili linazuilika.....Kuna rangi inaitwa Flex coat, rangi hii water proof, na inakabiliana na hali yahewa yoyote......
Nyumba hii ni kabla ya rangi haijapigwa.......


Karibuni sana, Homez Deco kwa mahitaji ya rangi za Dulux,  tunachokifanya ni kwamba utakwenda na mtaalamu kwenye nyumba yako aweze kukadiria ni rangi kiasi gani utatumia, na kukupa ushauri wa vipi unaweza kutumia rangi tofauti tofauti katika nyumba yako ama ofisi etc......

Kwa rangi za nje, tutumie rangi zilizopoa......