Thursday, January 23, 2014

NEW DESIGNS ...METAL BEDS...AVAILABLE BY ORDER.....AT HOMEZ DECO......NB: BEI ZETU HAZIJABADILIKA......KARIBUNI..

 Price 5 by 6 Tshs.550,000/-
 Price 5 by 6 Tshs. 350,000/-
 Price 5 by 6 Tshs. 550,000/

L-SHAPE SOFA......LINAUZWA....NI JIPYA......

 Sofa hili limetengenezwa nasi homez deco...na lina lebo zetu.....ni sofa la watu 5....lina ubora na viwango vya juu .........

Thursday, January 9, 2014

HAPPY NEW YEAR.2014....TO ALL.MY FUNS, FAMILY, FRIENDS ETC...Nimekua kimya kidogo.....mwishoni mwa mwaka jana...ila ni kwa mambo mazuri zaidi......na kuweza kumalizia oda zenu wateja wangu....na pia kwa upande wa Homez Deco....kujipanga vizuri kwa mwaka 2014......

Homez Deco tumeandaa na tumejiandaa kwa mengi mazuri kwenu wateja......maana bila ninyi tusingefika hapa.......tulipo sasa....

Tumekua tukipokea maoni, ushauri...na tunawashukuru wote kwa maoni na ushauri.....na tunaufanyia kazi.....kwa kweli maoni ni mengi na tunajitahidi kuyafanyia kazi....

Napenda kumshukuru Mungu kwa kila jambo analonitendea hapa duniani.....maana duniani tunapita tuu......hivyo ninayo kila sababu ya kumshukuru Mungu wangu na Muumba wangu uliye juu Mbinguni.

Homez Deco mwaka jana 2013....kusema kweli ulikua mzuri kwetu na nina kila sababu ya kuendelea kutoa shukrani za dhati kwenu wadau.....maana kwa kazi mnazotupatia.....zinalisha familia zetu na kuendesha maisha yetu....na biashara kukua pia......

Katika mwaka uliopita malalamiko yalikua ni kidogo...na pongezi zilikua ni nyingi mnooooooo....hii yote ni kuonyesha ni jinsi gani ambavyo tunaendelea vizuri na kazi zetu katika jamii hii yetu....

Kwa kutumia blog tumeweza kupata kazi za watanzania wenzetu walio nje ya nchi...na tumewafanyia kazi bila matatizo yoyote kulingana na wao watakavyo na makubaliano baina ya homez deco na wateja.......

Mwaka huu 2014......tutegemeee mabadiliko ya kimaendeleo.....na vingi ambavyo tumejipanga....tutaendelea kuwaletea humu humu kwenye blog yetu hii....kwani tuna lengo la kuendeleaa na kazi nzuri....zaidi.....na kuweza kufikia malengo ya mwaka tuliyojiwekea.....

Tunakaribisha ushauri....maoni...etc.....waweza kutuma kwenye namba 0713 - 920565, ama whatsapp namba hii hii, ama email sylvianamoyo@yahoo.com
Napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya  kwenu wote......