Tuesday, December 22, 2009

I WISH YOU ALL MERRY X-MASS AND HAPPY NEW YEAR

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote kwa kunipokea vizuri kwenye blog yangu hii. Bila nyie wadau wangu nisingefika hapa nilipo. Na naomba mnisamehe kama kuna mahali nimewakera ama kuwa boa, na huwa ninakubali kosa pale ambapo nimekosea. Ninashukuru kwa hilo kwani kukubali kosa ndio mwanzo wa kujifunza zaidi, Nawatakia wote Merry X-mass and A Happy New Year. From, Miss. Sylvia Namoyo - Director of Kreative Homez (Homes Deco). I love u all

5 comments:

 1. Sylvia umependeza mpenzi. Wish you a Merry Christmas and a happy new year.

  ReplyDelete
 2. thanks Anna-Claire, ila uko kimya kwenye blog yako., Merry X-mass and Happy New Year to you toooo

  ReplyDelete
 3. Wow! U look mwaaaa!!!

  Yaani umependezaaaa kupita kiasi, kumbe uko 16yrs old? I thought uko mzee like me.

  Wish you Mery X-mas & Happy New Year 2 dia.

  Ha ha ha ha ha

  C u morrow dia.

  mama brian

  ReplyDelete
 4. Umependeza mdada,hongera kwa kufungua blog yenye mtazamo huu,nimeipenda,sasa swali langu ni rangi ya lounge ni peach,tiles peach mixed with brown,je sofa ninunue za rangi gani na pazia?

  ReplyDelete
 5. Hi luja,

  asante kwa pongezi. kuhusu lounge yako uweke sofa za rangi gani ni kwamba weka sofa nyeupe, nyeusi,ama off white na mapazia yawe na rangi mchanganyiko wa peach na brown na white, ama off white pia itakwenda

  ReplyDelete