Monday, January 18, 2010

Not single any more (Thanks Lord)

Namshukuru Mungu kwa mema yote aliyonitendea. Status imebadilika. I am now in a relationship with the most handsome man in the whole world, He is caring, sharing, intelligent etc. I LOVE HIM WITH ALL MY HEART. Sasa msianze kuniuliza maswali, when the time is right mtamuona ama sio...hahhahahahaa hahhaaaa. Naona nimeanza mwaka vizuri

12 comments:

 1. Hongera sana dada Silvia..iam happy for you
  a blog Admire

  ReplyDelete
 2. Wauh,Slivia unajua umenstua nimedhani ndo umetusuprise leo ndo harusi,hongeraaaaaaaaaaaaaaa mdada mrembo,anaitwa nani bwan shem?mwaka umeuanza vzr shosti mana wengine mwaka umeisha vby na umeanza vibaya hongera tena na tena.

  ReplyDelete
 3. Jamani Luja, Asante sana, jamani nitakuwa mchoyo kama ningefanya harusi peke yangu huko bado, ila si wanasema safari moja huanzisha safari ingine...., one step at a time, atatambulishwa tuuu msijali. naogopa kuibiwa bureeeee hahahhahahah hhahhahahaa joke

  ReplyDelete
 4. Heeee!!!!!!!!! mdogo wangu hata hatukuonana tena inshaallah nikija Easter basi unimalizie kazi yangu!!!!!!! now my status has changed also this 2010 resolutions my dear lakini usiulize ha ha haa ha aaa..... na naomba usininyime harusi japo niko mbali nitaifungia safari tu!

  ReplyDelete
 5. pole kwa kuto kuonana tulikuwa tunapishana sana na heka heka zilikua ni nyingi, Inshalaaah mwezi wa nne ukija, tutaonana tuombe uzima. usijali wewe utapewa kipaumbele kualikwa. hhahahaa

  ReplyDelete
 6. U make me laugh unajua kwa nin?nilijua tu hujamtaja jina coz watakuibia wajanja mana hawashindwi kuanza kumsaka lol,all the best my dear,na kwa jinsi ulivomrembo sipati picha huyo bwan shem ulivomchanganya hahaha!

  ReplyDelete
 7. Ulivyosema status imechange nikafikiri umekuwa MRS,na unaposema hauko single pia maana yake umeolewa na wewe ni MRS,hapo ukanikanganya kidogo,anyway nimeelewa ulimaanisha nini at the end,i didnt know,kuwa uko single anyway,you're too cute to be single.
  Bless

  ReplyDelete
 8. Hongera kwa kuuanza mwaka vizuri na furaha. You deserve it! Mimi uk.

  ReplyDelete
 9. Nilivyoona kuwa status imebadilika nikadhani umeolewa kisirisiri, lakini kwa hatua uliyofika ni nzuri pia. Hongera sana Mwali. Usitunyime harusi

  ReplyDelete
 10. hongera sylvia, all the best

  ReplyDelete