Mh, mi nadhani ni wazo zuri but Watanzania inabidi tubadilike kwanza , kutupa tupa uchafu ovyo tuache,pia serikali isaidie kuweka dustbins sehemu mbalimbali,mi nipo nje ya Tz yaani huwezi ona mtu katupa eti chupa ya maji( baada ya kumaliza kunywa) kuna dustbins almost every where,na ukionekana ni fine.Labda hiyo nayo ianze hapo,jiji liweke dastbins then fines zitawale labda tutabadilika. Vinginevyo itakuwa ngumu km hatutabadili tabia ya kuchukia uchafu
Mi nadhani japo hili ni jukumu la kila anayeishi Dar, lakini kwa kiasi kikubwa linaweza likafanikiwa kama serikali za mitaa wakisimamia na kuongoza shughuli hii. Kuna mji niliwahi kuishi, ilikuwa kila Jumamosi asubuhi watu wa serikali za mitaa na maafisa afya wanapita kukagua na kusimamia shughuli za usafi. Ilisaidia sana kwani ilikuwa wakikuta eneo ni chafu basi wote mnaoishi pale mnawajibishwa kwa kulipia fidia na kupasafisha pia. Nimeshangaa sana kuona hapo Mwenge tu kwenye barabara mpya inayotoka ubungo unakuta katikati ya barabara ambapo kumepandwa mimea/ mau mazuri laikini pamegeuza jalala na watu wanazidi kuongeza takataka kila siku. Naamini maeneo yale kuna viongozi wa mitaa na maafisa wa afya. Ifanyike juhudi za makusudi ili kuwe na chombo kitakachokuwa kinasimamia wananchi kusafisha maeneo yao.
Mh, mi nadhani ni wazo zuri but Watanzania inabidi tubadilike kwanza , kutupa tupa uchafu ovyo tuache,pia serikali isaidie kuweka dustbins sehemu mbalimbali,mi nipo nje ya Tz yaani huwezi ona mtu katupa eti chupa ya maji( baada ya kumaliza kunywa) kuna dustbins almost every where,na ukionekana ni fine.Labda hiyo nayo ianze hapo,jiji liweke dastbins then fines zitawale labda tutabadilika. Vinginevyo itakuwa ngumu km hatutabadili tabia ya kuchukia uchafu
ReplyDeleteMi nadhani japo hili ni jukumu la kila anayeishi Dar, lakini kwa kiasi kikubwa linaweza likafanikiwa kama serikali za mitaa wakisimamia na kuongoza shughuli hii. Kuna mji niliwahi kuishi, ilikuwa kila Jumamosi asubuhi watu wa serikali za mitaa na maafisa afya wanapita kukagua na kusimamia shughuli za usafi. Ilisaidia sana kwani ilikuwa wakikuta eneo ni chafu basi wote mnaoishi pale mnawajibishwa kwa kulipia fidia na kupasafisha pia. Nimeshangaa sana kuona hapo Mwenge tu kwenye barabara mpya inayotoka ubungo unakuta katikati ya barabara ambapo kumepandwa mimea/ mau mazuri laikini pamegeuza jalala na watu wanazidi kuongeza takataka kila siku. Naamini maeneo yale kuna viongozi wa mitaa na maafisa wa afya. Ifanyike juhudi za makusudi ili kuwe na chombo kitakachokuwa kinasimamia wananchi kusafisha maeneo yao.
ReplyDelete