Tuesday, October 13, 2009

More designs at Homez deco

Tshs.820,000/=
Tshs.250,000/=

Tshs @ 220,000/=


tshs. @ 400,000/=



Tshs. 300,000/=




tshs. 300,000/=





Tshs. 1,000,000/= kama ilivyo ila meza itakuwa ya kioo bila kapeti.
Ukitaka bila meza na single sitter 2 na love sitter 1 bila meza itakuwa 800,000/=






13 comments:

  1. mpenzi mie nimependa hivyo ulivyoandika laki nne ila naomba uniambie vinakuwa kwa idadi ulioonesha hapo au vingapi na mimi niko mkoani utanisaidia vipi namna ya kusafirisha au kuvipack vizuri kwa ajili ya kusafirisha?

    ReplyDelete
  2. Asante sana, kwa bei niliyoitaja ni kwa kimoja ila kama utatengeneza vingi basi bei itapungua, hivyo niambie ni vingapi wataka then tujadili bei, na kuhusu usafiri inakuwa ni kwa gharama zako, tutasaidiana kutafuta usafiri wa bei ya rahisi kidogo isiweze kukuumiza.hapa hakuna kinachoshindikana na nijitahidi funs wangu wote wapate wanachohitaji. Karibu.

    ReplyDelete
  3. Hi,
    hiyo laki nana ni pamoja na mito na fornya zake? bei yake hauipungui kidogo

    ReplyDelete
  4. Hi, ndio ni laki nane pamoja na mito yake. usijali ukiwa tayari karibu taangalia tufanyaje, hatuwezi kushindwana najitahidi wote tuwe na vitu vizuri majumbani kwetu.

    ReplyDelete
  5. silvia hiyo love sitter ni ya watu wangapi? maana kuna za wawili na watatu ni ipi kati ya hizo.? pia foronya anaweza akakuwekea rangi unazotaka au ni lazima nyeupe?

    ReplyDelete
  6. my dear, love sitter inakua ni 2 zile za watu watatu zinaitwa 3sitter. Hivyo love sitter ya watu 2 na single sitter moja moja jumla ni 2. kwa hiyo utakuwa na makochi jumla 3 na foronya unachagua wewe rangi hilo halina shida kabisa.

    ReplyDelete
  7. Je unaweza kutengeneza corner sofa kwa kutumia hiizi vyuma?? Tafadhali kama umeshatengeza weka picha.

    ReplyDelete
  8. Habari, corner sofa inawezekana kutengenezwa, nitaweka picha zake si unajua mambo taratibu huko nitafika pia.

    ReplyDelete
  9. Helo! Do you have designs za vitu/racks jikoni eg. Spice racks za ukutani, rack za kuwekea vitunguu, viazi

    ReplyDelete
  10. Kwa mfano ukiongeza iwe 3 sitter itakuwa sh ngapi?

    ReplyDelete
  11. my dear, sijajua sitting room yako ina ukubwa kiasi gani ila kwa ushauri usiweke makochi mengi haitapendeza kabisaaa. bei ni hiyo hiyo kwa single sitter 2 na three sita 1, two sitter 1 single sitter 2 bei ni sawa tuuu..

    ReplyDelete
  12. hello Slivia
    Napenda sana vitu vyako keep it up unakuja na ubunifu mpya kila wakati sasa mimi sebule yangu ni ndogo na napenda niwe na love sitter 2 na tv stand ambayo pia nimeiona kwenye blog yako itapendeza? napenda vitu simple but nice, na kuhusu bed room naweza pata dressing table ya bei ya chini kabisa na itakuwa sh ngapi?????

    ReplyDelete
  13. Hi, asante sana, sasa inabidi nione sebule yako ina ukubwa gani kwanza, na dressing table unaweza kupata ya bei rahisi tuwasiliane nikupatie dizaini.

    ReplyDelete