Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote kwa kunipokea vizuri kwenye blog yangu hii. Bila nyie wadau wangu nisingefika hapa nilipo. Na naomba mnisamehe kama kuna mahali nimewakera ama kuwa boa, na huwa ninakubali kosa pale ambapo nimekosea. Ninashukuru kwa hilo kwani kukubali kosa ndio mwanzo wa kujifunza zaidi, Nawatakia wote Merry X-mass and A Happy New Year. From, Miss. Sylvia Namoyo - Director of Kreative Homez (Homes Deco). I love u all
Sylvia umependeza mpenzi. Wish you a Merry Christmas and a happy new year.
ReplyDeletethanks Anna-Claire, ila uko kimya kwenye blog yako., Merry X-mass and Happy New Year to you toooo
ReplyDeleteWow! U look mwaaaa!!!
ReplyDeleteYaani umependezaaaa kupita kiasi, kumbe uko 16yrs old? I thought uko mzee like me.
Wish you Mery X-mas & Happy New Year 2 dia.
Ha ha ha ha ha
C u morrow dia.
mama brian
Umependeza mdada,hongera kwa kufungua blog yenye mtazamo huu,nimeipenda,sasa swali langu ni rangi ya lounge ni peach,tiles peach mixed with brown,je sofa ninunue za rangi gani na pazia?
ReplyDeleteHi luja,
ReplyDeleteasante kwa pongezi. kuhusu lounge yako uweke sofa za rangi gani ni kwamba weka sofa nyeupe, nyeusi,ama off white na mapazia yawe na rangi mchanganyiko wa peach na brown na white, ama off white pia itakwenda