Thursday, October 15, 2009

Huduma zitolewazo na Homez deco

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote kwani bila nyie funs wangu nisingefikia hapa nilipo.



Mafanikio niliyoyapata mpaka sasa nimeweza kufanya biashara ya kuwapelekea maua artificial na mapambo katika hotels:



  • Blue Pearl Hotel iliyoko maeneo ya Ubungo,

  • Grand Villa Hotel iliyoko Sayansi Kijitonyama nawashukuru sana.



Na pia naendelea kuwakaribisha Homez Deco Kinondoni dukani karibu na sheli ya Bp Mwanamboka.

Huduma zitolewazo Homez deco ni pamoja na:


  • Ku design mapazia
  • Kuuza greeting cards
  • Kutengeneza fanicha za metal
  • Kuuza maua fresh na artificial
  • Kuuza maua ya misiba na mishumaa
  • Kuuza candles
  • Kuuza candle holders
  • Kuuza flower verse
  • Kuuza mapambo ya majumbani na maofisini
  • Kupaka rangi nyumba
  • Ku decorate nyumba
  • Kufanya arrangment ya fanicha
  • Kutoa ushauri
  • Tunafunga zawadi
  • Tunapeleka suprise za maua, parcel ama zawadi kwa watu muwachaguao eidha ofisini, nyumbani etc.
  • Tuna mafundi wazuri na wazoefu wa tiles
  • Na hata kama una dizaini yako ya metal furniture unakaribishwa tutakutengenezea utakavyo.


Kwa sasa huduma hizo ndizo zinazopatikana Homez deco. Tunaendelea kuwaletea vitu vizuri na mambo mazuri, nitaendelea kuwajulisha nini kinaendelea kadri siku zinavyoendelea.

Asanteni sana.

Sylvia - Director & Co - Founder of Homez Deco

Sylvia


7 comments:

  1. Hi Sylivia,
    Thanq for your blog real ni nzuri pia ina vitu vizuri sana.
    Mimi ni mmojawapo ninapenda sana kuingia katika blog yako. Nilihitaji sana ku design carten zangu ila tatizo naishi Arusha.
    Je is it possible??

    ReplyDelete
  2. hi, hakuna shida tuwasiliane tuuu ukiwa tayari na kama mimi kuja nitakuja over the weekends.homez deco Sylvia

    ReplyDelete
  3. Hello Slyvia
    mie napenda uje kwangu unidesignie upangaji wa fenicha ila nyumba yangu ni ya kupanga kisha sio kubwa sana na pia ipo uswazi ila napenda sana v2 vizuri ila mie upande wa kupanga nyumba siwezi kabisaaaa jeee unapanga kwa sh.ngapi?

    ReplyDelete
  4. Hi, usijali wengi wetu twakaa uswazi na ni nyumba za kupanga, bei ni mpaka nije kuangalia ukubwa wa kazi. niambie ni lini nije kuangalia ila iwe ni weekend. Thanks

    ReplyDelete
  5. Nashukuru kwa kunijibu
    ila nadhani tupange next weekend nitakutaarifu kabla, may be wedn. au thursday . kama nitakufuata ama ntakuelekeza

    thank u

    ReplyDelete
  6. Hello Slyvia

    mie nina makochi ya rangi ya dark brown na cream jee hapo nichanganye na rangi gani vitu vya hapo sitting room ndio vitaendana au vitapendeza??

    ReplyDelete
  7. Hi, ningependa unipe details zaidi kwani nahitaji kujua ukuta una rangi gani, na je hiyo dark brown na cream vimechanganyika ama viko mbali mbali. na kwa ushari kama uko dar ningependelea nije hapo home kwako ama piga picha then nitumie kwenye email.

    ReplyDelete