Thursday, January 21, 2010

Vyombo na maana zake

Tumekuwa tukiduwaaa pale ambapo umealikwa kwenda dinner kwenye hotel kubwa na ukifika mezani jasho linatutoka, kwamba unaona vyombo ni vingi na hujui uanze na kipi kwanza, haya leo nimeonelea tuangalie maana ya kila chombo.

4 comments:

 1. Hi Sylvia, am inspired by ur blog i once visit it on the web and remain speechless...i like nice stuff especialy when it comes to DECORATION. Though most of us we live in a rented house but that doesn't mean not to keep it nice just bcoz is a rented one.I go through most of your topics and i need some pillows for the sofa..but if you can advise me, i have some leather touch sofas which kind of pillows can suit i mean has to be leather pillow as well or i can put some with cotton material? Rgds uesha!

  ReplyDelete
 2. Asante sana dada Sylvia kwa hili. Nimekuwa nikipata tabu sana kujua kipi ni kipi hasa unapovikuta vitu vyote hivyo vimepangwa kwenye meza. Nashukuru leo nimefahamu.

  Kazi nzuri sana dada na blog yako inavutia sana.

  Mdau

  ReplyDelete
 3. karibu mdau wangu, jamani hua ninakaribisha maswali, lakini watu hawaulizi sasa nashindwa niwasaidiaje, yaani ni mpaka nifikirieee weeeee. kama mna maswali karibu muulize, inakuwa ni kwa faida ya wote.

  ReplyDelete
 4. That's nice, i once was told u start from the far right moving in yaani to the left hand, so ofcourse as u can see the soup spoon ndo imeanza then dinner halafu ya mwisho ni ya salad!

  ReplyDelete