Friday, January 8, 2010

More Curtain Designs order now. ( Nawatakia weekend njema)11 comments:

 1. unayo hayo mapazia ?cost zikoje
  All the best of luck

  ReplyDelete
 2. kinachofanyika ni kuwa kama umependa design moja ambayo nimeiionyesha, nakutafutia kitambaa ama kama unacho, ninakushonea kutokana na rangi za nyumbani kwako. sina mapazia ambayo ni ready made. yote ninayashona.kuhusu gharama inategemea na ukubwa wa dirisha, na design uliyochagua

  ReplyDelete
 3. Hi sylvia,nazimia sana your creativity na napenda decor pia mimi si mbunifu. natafuta muda ikiwezekana nitakutafuta uje kwangu sinza unishauri nibaldilisheje muonekano wa nyumbni kwangu docorationwise. Asante sana kwa kutupa vitu bomba.

  ReplyDelete
 4. Kazi zako nzuri sana mumy wangu nimependa dirisha na Mapazia design ni nzuri sana, ngoja namalizia malizia mjengo wangu nitakutafuta nikualike uje unishauli ni curtain gani na color gani zitapendeza hapo na utaniwekea. Keep it up and GOD bless U
  Mama Mario

  ReplyDelete
 5. Lovely,U doin a gr8t job.........LOl!!

  ReplyDelete
 6. Hi Sisy,
  umekuja Arusha,jamani wengine tulikua tumesafiri hatujakuona,N.way, mtu akikuhitaji uje Ars umshauri kuhusu uwekaji wa mapazia unaweza kusafiri kuja?
  we need someone who can be flexible tukimhitaji, can you?
  Thanks, mama mbaga!

  ReplyDelete
 7. kama hiyo design ya kwanza ndio mnaweka kwa shs ngapi? maana mm sebule yangu hata haipendezi naona nyie mtanifaa kuweka sitting room yangu iweze kupendeza,pls niambie ili nijipange

  ReplyDelete
 8. ukubwa wa dirisha langu ni kama hyo picha ya kwanza....

  ReplyDelete
 9. hi, hiyo design ya hapo juu inategemea na dirisha, but kwa kusia itacost sh. 350,000 kwa dirisha..

  ReplyDelete
 10. Your doing a great job, can i have more curtain designe for Kitchen. Thks

  Mdau from Arusha

  ReplyDelete
 11. daah me hoi kwa mapazia hayo. mazuri kweli.

  ReplyDelete