Monday, February 13, 2012

Utamu wa pipi ni mate yako.......hahahhahha Jaydan my son, sasa tuko na pipi za vijiti na chama- snacks kuelekea valentine's day...,,,,,
hahahahaha, hahahaah,  utamu wa pipi mate yako, yaani mate yalikua yanamtoka jayd wangu acha tuuu,,,, hahahaahah. nina post hizi picha sina mbavu, kwa kweli, nimempiga hizi picha utadhani nilikua nikimuambia awe ana pose tofauti, hahhaa, haya siku hizi tunakula kila kitu, yaani tuko sambamba kwa kweli, chakula cha kusaga hataki so tunapunguza kumsagia chakula.

Jaydan anapenda kuwa wish happy valentine's day to all of you........we love you......

4 comments:

 1. jamni cute baby, i love him, nimecheka kweli, ilikua tamu kupitiliza. God bless him.

  ReplyDelete
 2. asante, yaani kila nikiangalia hizi picha nina furaha kweli yaani, siku hizi jayd amekua mtundu acha tuu, tena ukimpiga picha anaweka pozi acha tu,,,, mungu ni mwema ninamshukuru kwa kila jambo.

  ReplyDelete
 3. Jamani Sylvia tunaomba utuwekee picha za birthday ya baby wetu Jaydan, PLZ.

  ReplyDelete
 4. hi my dear, jamani sikufanya birthday, mungu akipenda mpaka akifikisha miaka 2.

  ReplyDelete