Monday, February 6, 2012

Introducing Phides Chezi. A professional Interior Designer, Decorator & Landscaping.

Napenda kuchukua nafasi hii kuwatambulisha Phides Chezi, a professional of  Interior Design - kutoka South Africa. Ni mtanzania mwenzetu, alikua masomoni  South Africa kwa muda wa miaka 4, sasa ametudi hapa kwetu Tanzania kuungana nami katika fani hii ya Interior Designing,  Decoration and Landscaping.

Mungu ni mwema, tunazidi kupata wataalamu Homez Deco, sasa basi mkimpata yeye ndio mimi, na mimi ndie yeye.


Sasa huduma yetu itaendelea  kukua na kuwafikia popote mlipo, wa mikoani tutawafuata pia.


 
Sylvia ni: 0713-920 565

Karibuni, sana.......na mungu awabariki, kwani nyie ndio mmechangia mimi kufika hapa nilipo....... 

No comments:

Post a Comment