Monday, February 27, 2012

HUU NI MUENDELEZO WA STAGE 4 PLANTING, COULD BE FLOWERS BUSHES,LAWNS OF SHRUBS

Wadau wa landscaping nataka muelewe  umuhimu wa weather or hali ya hewa ya  maeneo mnayoishi hii inasadia sana, kujua ni aina gani ya maua miti, majani yanayotakiwa kupandwa,  sehemu za joto kwa mfano Dar. hali ya hewa ni joto so huwezi kupanda maua aina ya tulips,hyranders or roses,,  hizi rose zinatofautiana kuna zinazostahimili joto na pia kuna roses za kwenye maeno ya baridi.

 Kwa wakazi wa dar ningewashauri kama una mpango wa kuanda maua ya aina yoyote ile, udongo ni muhimu mbolea na  umwagiliaji siku za mwanzo pia panda maua pindi mvua zinapoanza, maua miti au vichaka vinavyostahili hali ya hewa ya Dar ni maua ya lilies gadenians black tiger eyes, bouganivillia
  ibisicus(pls google haya majina ya maua na utayaona), haya maua yanasahimili sana jua joto,  au magnolia stellata  maua haya yanapenendezesha sana bustani za majumbani au makazini,   au sehemu za bihashara, 
 
ninahamasisha sana wadau wa mazingira kutafuta watu ambao ni wataalum wa gardens, unapokuwa na kazi, hii kazi ni ya landscaping, wapo ambao pia wanafanya local gardens wanafanya kazi nzuri nilitembelea maeneo mbalimbali hapo dar i was very impressed by many local gardeners wanafanya kazi nzuri tuu  ila  mkijigipanga mnaweza kuweka professional landscapers ndio ni aghali ila utafurahia matokeo.

No comments:

Post a Comment