Monday, February 13, 2012

Decorative Pillow case......Disney cartoons characters...are available @ Homez Deco...


hizi ni baadhi ya disney cartoon character pillow case, zinapatikana hapa kwetu homez deco, pillow case bila mto ni Tshs. 10,000/- ikiwa na pillow ni Tshs. 15,000/- ni cotton materials..... hizi zina matumizi mbali mbali waweza kuweka kitandani, ama kwenye chumba cha watoto etc. Hazipatikani kokote, nilijaribu kuzunguka kwenye maduka mbali mbali hakuna ......

many characters pillow case to come.....

2 comments:

  1. Hi, silvia, mimi nipo Arusha nataka pillow case za makochi yangu, colour combo, bila mto, sijui utanichaji shs? kwa kila case.
    Thanks kwa kazi nzuri.

    ReplyDelete
  2. hi, pillows utapata, naomba kujua ni size gani ya hizo pillows, kama unaweza kupeleka foronya kwa fundi akapima then unijulishe, zikiwa tayari, ntakutumia kwa basi la dar express, utatuma na hela ya usafiri, hela unitumie kwa tigo pesa ntapokea, namba ni hii hii 0713-920565, karibu

    ReplyDelete