Sunday, February 12, 2012

R.I.P Whitney Houston.


Imeniwia vigumu kuamini, na kukubali kua umetutoka, ni mwanamuziki ambaye nilikua ninampenda sana, na nyimbo zake....hasa unaoitwa, the greatest love of all.......ila mungu amekupenda zaidi.


No comments:

Post a Comment