Thursday, February 2, 2012

Muda sio mrefu nilitembelewa na Shamim a.k.a Zeze, ofisini kwangu Homez Deco:- kinondoni studio, karibu na sterio bar......


 Me, Shamim & Iqra

 Hii ndio color ya pazia. 

Na hiyo ndio tape........

Pazia kabla hatujazifanyia kazi, tutabadilisha  design ya pazia , tunatoa tape na kuweka Hailet.... nitawaonyesha hailet zikoje

NB:
Ukiwa na pazia zako ambazo unazipenda na hazijachakaa, karibu tuzibadilishe muonekano......

Just stay back, relax  and wait for the new look of these curtains.......

No comments:

Post a Comment